Namtafuta Mh Nassari a.k.a Dogo janja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta Mh Nassari a.k.a Dogo janja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndekirhepva, Jun 22, 2012.

 1. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wakuu huyu jamaa sijamsikia, hivi yupo au ndo bado anasoma mchezo??
  au kawa overloaded na majimbo mawili na la Arusha mjini???
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  dogo yupo sana tu katika bunge la budget ameuliza maswal mawili moja kwa wazir mkuu,na lingine kwa waziri wa utalii..
  ila hakupata nafasi kuchangia buget..na pia jana ametangazwa kwenye baraza kivuli kuwa naibu waziri kivuli wa elimu sayansi na teknolojia..
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Yupo mbona?
   
 4. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  yupo bunge ndo limeanza nadhani utamskia tuu bado mwanzo mkuu
   
 5. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Maji marefu naye pia anamtafuta dogo
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,218
  Trophy Points: 280
  yupo Nassari kajaa tela kama pishi la mchele!
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Amejibu hapanaaaaaaaaaaaa siyo muda mrefu
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  yupo na mchango wake umesikika ..may be kama hukusikia baadhi ya vipindi vya bunge
   
 9. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haujafuatilia vizuri bunge hili. dogo yupo sana na leo alikuwa kakaa karibu na mamaa
   
Loading...