Lulu ana zaidi ya miaka 18 - Jamhuri!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Jamuhuri imetoa vithibitisho kwamba (ELIZABETH MICHAEL)Lulu ana zaidi ya miaka18.
Aidha mawakili wa Jamuhuri wakiwakilisha vidhibitisho hivyo wamesema wamepata baadhi ya vidhibitisho ikiwemo cd iliyorekodiwa kabla na moja ya chombo cha habari CLOUDS TV chini ya mtangazaji "ZAMARADI MTETEMA"zinamuonyesha Lulu akikili kwa mdomo wake kwamba ana zaidi ya miaka18.Aidha vidhibitisho vingine vilivyopatikana kutoka police vinaonyesha maelezo ya Lulu kwenye form wakati akiomba pass ya kusafiria na driving licence zinaonyesha Lulu(ELIZABETH MICHAEL)ana zaidi ya miaka18.
 
Kuna haja ya kuwa na vitambulisho vya URAIA,,,,kumbe mtu mzima,,,hata huko jela anafaa kuliwa
 
Kweli hata wiki mbili kabla ya tukio analotuhumiwa kuhusika nalo, alikua katika kipindi cha mikasi cha EATV kinachoendeshwa na Salama Jabir na alipoulizwa kuhusu umri, Lulu alijibu, "I am eighteen"
 
Kweli hata wiki mbili kabla ya tukio analotuhumiwa kuhusika nalo, alikua katika kipindi cha mikasi cha EATV kinachoendeshwa na Salama Jabir na alipoulizwa kuhusu umri, Lulu alijibu, "I am eighteen"
Tayari kishapotea huyo!
 
Kweli hata wiki mbili kabla ya tukio analotuhumiwa kuhusika nalo, alikua katika kipindi cha mikasi cha EATV kinachoendeshwa na Salama Jabir na alipoulizwa kuhusu umri, Lulu alijibu, "I am eighteen"
Papers ndo zitaamua ukweli !
 
Anavyo 2 na vyote vinautata 1 kinaonyesha kazaliwa moshi na kingine kazaliwa dar,na vyote vina majina tofauti,na hata wazazi wake wanatofautiana hospital aliyozaliwa.So ni usanii juu ya usani.

Kwani hao RITA hutoa vyeti mara mbili mbili? Kama majina yanatofautiana na la kwake si hao RITA basi wamwandikie jina sahihi na kwamba ana 17? Nchi hii klia mtu mjuzi.
 
Let's face it ... hili suala linaonyesha udhaifu kwa serikali yetu pia. Kwanini ulazimike kuchunguza umri wa mtu kwa kupitia maombi yake ya passport ya kusafiria na driver's license. Vipi kuhusu cheti chake cha kuzaliwa? Kwani hakuna record yake ya kuzaliwa? Alizaliwa wapi na ilirekodiwa vipi? This case is getting ridiculous!
 
sasa hapo ni amekwisha na je atashtakiwa kwa kosa jingine la kuidanganya mahakama au inakuwajewajuzi wa sheria tujuzeni.... maskini lulu jela itamuozea

waliomshauri walikosea sana kwani wamejisahau kuwa lulu alikuwa na leseni ya kuendeshea gari,passport ya kusafiria na kumbumbuku ya hitu hivi hupaki serikalini hata kama wazazi wake walikwenda kufoji cheti cha kuzaliwa rita tayari lulu alishatengeneza leseni na pasi ya kusafiria kitambo
 
kwahy namm nikisema nina miaka 200 jamuhuri itatumia kauli yangu na si vyeti vyangu kunihukumu?
 
kwahy namm nikisema nina miaka 200 jamuhuri itatumia kauli yangu na si vyeti vyangu kunihukumu?

Asante Angel.yaani mtu na akili zako unatuambia alisema ana 18 kwenye tv show au movie hiyo ndio proof ya umri wake?this is ridiculous!teenagers dunia nzima wanadanganya umri ili waingie club,wanunue sigara,wanunue pombe!tena kwenye nchi ambazo wako strict itakuwa Lulu!kadanganya ili apate driving license na passport aweze kusafiri(shwa) na kasaidiwa na watu wazima wasio na utu wala aibu....
 
Anavyo 2 na vyote vinautata 1 kinaonyesha kazaliwa moshi na kingine kazaliwa dar,na vyote vina majina tofauti,na hata wazazi wake wanatofautiana hospital aliyozaliwa.So ni usanii juu ya usani.

Serikali si ndio inatoa vyeti!wameshindwa kujua kipi original kipi fake?rubbish
 
Kama kwenye fomu ya polisi alisema 18 hakuna haja ya kupepesa macho,,,,,,aliongea akiwa na akili timamu,,,,iaminike hivyo,,,,,haina haja ya kwenda clouds wala wapi
 
Haraka yake Lulu yakuhalalisha Umalaya wake ilimlazimu kuongeza miaka, Hili liwe funzo kwa watoto wengine wanao ongeza miaka ili wawe huru kufanya Umalaya
Jamuhuri imetoa vithibitisho kwamba (ELIZABETH MICHAEL)Lulu ana zaidi ya miaka18.
Aidha mawakili wa Jamuhuri wakiwakilisha vidhibitisho hivyo wamesema wamepata baadhi ya vidhibitisho ikiwemo cd iliyorekodiwa kabla na moja ya chombo cha habari CLOUDS TV chini ya mtangazaji "ZAMARADI MTETEMA"zinamuonyesha Lulu akikili kwa mdomo wake kwamba ana zaidi ya miaka18.Aidha vidhibitisho vingine vilivyopatikana kutoka police vinaonyesha maelezo ya Lulu kwenye form wakati akiomba pass ya kusafiria na driving licence zinaonyesha Lulu(ELIZABETH MICHAEL)ana zaidi ya miaka18.
 
huu ni ujinga wa kujicheleweshea hukumu(kushinda kesi au kuupatikana na hatia dhid ya muaji),kwani ukichakachua umri ndio inakuaje?
Wanaowashauri yeye na wazazi wake wanachemka,sikuzote uongo hujitenga pale kwenye ukweli.unakuja kubainika ukweli tayar ukiwa umesota,sema ukweli kisha waachie mahakama waamue,bas
 
Back
Top Bottom