Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ruhazwe JR, Jun 21, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanasadikiwa kufa majeruh wengi, nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Daaaaah ajali hizi jamani mungu atunusuru
   
 3. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  polen sana wale wote waliofikwa na ajali pia tunawaombea afya njema mungu awaludishie kusudi waendele na maendeleo ya kujenga taifa .kwa upendo wake mungu wale wote alio wachukua walale mahala pema peponi.RAHA YA MILELE UWAPE E BWANA NA MWANGA UWANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Aisee.....yasijekuwa ni yale malori corococho ya cement
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mtu anawahi kuleta thread hata hajajiandaa... sasa sijui issue ni kuwa wa kwanza kupost au nini, tuna ndugu, jamaa na marafiki sasa unapoleta kimini cha habari sijui unategemea nini

  Halafu unasema watu kadhaa wanakusudia kufa---- as if ni optional!!! this is insane

  then unasema utaleta pia chanzo cha ajari.... hivi chanzo ni rahisi kupatika ahivyo??
  I am disappointed
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu kwenye ajali kunamambo meng,kunakupigapicha,kuoko majeruh.naweka update sasahiv
   
 7. B

  Bigbig New Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhari rekebisha mada maana hakuna mtu anayeweza kukusudia kufa ukizingatia ni ajali
   
 8. v

  viane Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hizi ajali,,, hapa juzi tu nilikuwa na misiba miwili kwa ajali ya pikipiki alikikuwa shemeji yng na mtoto wa baba yk mkubwa....
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa unaposema watu "wanakusudia kufa" una maana gani??? wanakufa kwa makusudi???
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  dah poleni sana na ajali wakazi wa tegeta
  HAPO KWENYE RED...badili hakuna anayekusudia kufa
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu mtoa habari anatania au! '' watu wanakusudia kufa!!!!'
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu mko Salama kweli wote? Nahisi hata kazi haiendi hapa maana huko ndo home sasa weka details vizuri mkuu. God forbid.
   
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Silly thread
   
 14. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wale ambao Mungu amewapenda ndio wamekufa! Halafu hawa majeruhi unasema tunawaombea wapone, ina maana hawa hatutaki Mungu awapende! Ridiculous, tuimarishe hatua za kupunguza mazingira hatarishi barabarani, hakuna cha theology hapa!

  Hizi ajali tunajitakia wenyewe, hakuna cha upendo wa Mungu hapa!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Kuna lori lililosheheni simeti kutoka kiwanda cha Wazo limefeli breki wakati likishuka kilima kutokea kiwandani. Likaja kuparamia daladala zilizokuwa zinapakia Abiria nia panda pale. Likazoa daladala moja mpaka kwenye Duka la Vifaa vya ujenzi na Bar ya KMM. Mpishi aliyekuwa kwenye jiko la bar amefariki papo hapo, na abiria waliokuwa ndani ya gari wako nyang'anyang'a. Juhudi za uokoaji zinaendelea lakini dalili zinaonyesha kutakuwa na vifo vingi sana. Hivi sasa bado kichwa cha lori bado kiko ndani ya duka la Vifaa vya ujenzi baada ya kuufumua ukuta na kuzama ndani.

  Mungu atunusuru na haya Majanga.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nilikua na wasiwasi na wewe na kanyagio mkuu....

  nashukuru umeleta taarifa kamili
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yamepita masaa, hako chanzo cha ajari ulicholeta, picha wala waliokusudia kufa

  umenikera sana mkuu............ najua wewe ni mgeni, lakini thamini basi maisha ya wenzako
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  una vias wewe.... LOL
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  My God!
   
 20. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Poleni sana.
   
Loading...