:juggle:Naskia eti mshahara wa madaktari umeongezwa kiduchu sana kiasi cha kwamba hadi madaktari kutangaza mgogoro? Nani ana habari kidogo au chini ya uvungu yenye kujua kiasi walichoambiwa...
BBc limepokea na kutoa maelezo kamili kuhusu wanawake wa Uganda wanavyokuwa watumwa wa nyumbani nchini Iraq pamoja na hadithi ya kustaabisha ya jinsi walivyotoroka. Wanawake wa Uganda 100...
Waliojiita viongozi wa dini na kauli yao kuhusiana na kadhia ya Mnyika bungeni, kama huo ndiyo msimamo wenu kwa hakika mtupelekako siko. Udhaifu ni sifa ya binadamu hata kama binadamu huyo ni...
Upepo huu si mwingine bali wa kufungiwa kutumia Jf baada ya kula ban ya mwezi mmoja. Sababu ya kufungiwa ni baada ya kuandika kuwa alah ndiye shetani mwenyewe katika post yenye tittle ya soma hapa...
Leo majira ya saa 8 mchana nimeshuhudia mwanamume mtu mzima(kama miaka 30 hivi) akiwa amekaa kitako kwenye mchanga huku akimwaga machozi kama vile mtoto mdogo aliyekosa kutimiziwa ahadi ya...
NImepata uwanja mzuuuurriiiiiiiiii tena tambarare, umenigarimu sana....Namshukuru Mungu. kwa wale wanaofahamu, nitapata wapi architect mzuri anayechora ramani za nyumba hapa bongo? na kwa bei...
jamani, napita hapa tegeta kuna ajali mbaya imetokea, inasemekana watu 5 wamepoteza maisha hapo2, lori la mchanga limegonga sehemu ya baa na kuua. Mwenye habari zaidi tafadhali.
naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za...
wanajf kwa wale waliopo ngorongoro kuna taarifa kwmb kuna hotel ya kitalii inaungua.na tatizo liliipo ni ukosefu wa vifaa vya zima moto.waliopo karibu na tukio naomba mtupe taarifa zaidi!chanzo...
House robbery: East Upanga got robbed y'day morning. 6 men claiming to be Tanesco employees came into the house to check Luku Meters. They had come with uniform and identifications. Once they are...
Katika hali ya kushangaza Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula ameshindwa kuchukua maamuzi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma katika Shirika la ukaguzi wa vyama vya ushirika. Mkurugenzi...
Habar wadau,,naomba nipate msaada wa kiufundi kuhusu N,G.O,mim na wadau wenzangu tumeamua kuanzisha asasi isiyo ya kiserikali ambayo dhumuni lake ni kulenga katika kuwasaidia vijana juu ya...
Kindly note there is a new technique used by robbers and carjackers to escape from arrest due to their criminal activities. They are collecting used scratch cards and once they abandon the car...
Wed, Jun 20th, 2012
Tanzania |
The Former Tanzania Tourism Board (TTB) Managing Director, Mr Peter Mwenguo (64) died in Dar es Salaam on Monday after succumbing to stroke.
The late Peter...
Ni tukio lililotokea jana usiku saa 5 kwenye hoteli ya kitalii ya Moivaro iliyopo wilayani Serengeti ndani ya eneo la kijiji cha Robanda mita mia sita kaskazini toka lilipo geti la kuingia hifadhi...
Mmh, jamani mara nyingine wazazi tuwe waangalifu na hawa watoto wa siku hizi.
Toddler Kills Dad Over PlayStation
An angry four-year-old Saudi boy shot and killed his father for refusing to buy...
Ni kweli kwamba vitu vingi vinaweza kutukusanya pamoja, kama vile ndoa, harusi, misiba, mikutano, ibada, ugomvi, mashauri; nakadhalika. Lakini kuwa pamoja haimaanishi kuwa...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara bwana Bartholomeo Machage Amefiwa na dada yake aliyekua amelazwa Kwenye Hospitali ya Aghakhan....msiba uko Mwananyamala na mwili utasafirishwa kwenda Tarime kwa...
Wadau,
Mimi naomba mnisaidie kwanini gas asilia inapatikana Mtwara then tunaingia cost ya kujenga bomba, la gas mpk Dar kuzalisha umeme then tunatandaza waya za umeme hadi Mtwara kupeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.