pigo la kwanza la bajeti 2012-umeme wakatika bungeni wakati wa kupitishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pigo la kwanza la bajeti 2012-umeme wakatika bungeni wakati wa kupitishwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Jun 22, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  naweza kusema mungu amejibu mapigo ya unafiki wa wabunge waliopitisha bajeti hii baada ya umeme kukatika ghafla hapo bungeni.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  na wao waonje adha ya tanzagiza...angalau kwa one minute
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  upepo tu huu utapita
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  safi sana!na mtera wakati wowote inazimwa hakuna maji!rais dhaifu,ccm wapuuzi
   
Loading...