Majumuisho ya bajeti (2012/2013)

Syncerus caffer

New Member
Jun 19, 2012
1
0
Jamani huu si ndio unafikki kwa wabunge wa CCM? Pamoja na wabunge wa CCM kuikosoa bajeti, leo wanaikubali tena kwa kuitwa jina la mbunge mmoja mmoja, hawa waheshimiwa wanawasaliti wapiga kura wao.............
 
Back
Top Bottom