Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by deecharity, Jun 19, 2012.

 1. d

  deecharity JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la Komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa Komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na LULU.

  Sasa hapo nani anastahili kwenda kupimwa akili?
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kuna siku niliishasema hapa jamvini kuwa "Ukiwa mwanachama wa CCM ama mfuasi kwa aina yoyote ile akili yako itakuwa sawa na wagonjwa wa MIREMBE ama BUGANDO ward number 1" argument skills sifuri kabisa kwa wabunge wooooooooote wa ccm
   
 3. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanza tunashangaa, kwa nini mpaka sasa yupo nje.??? Anatakiwa awe segerea kwa ubakaji.
   
 4. d

  deecharity JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Lile 2mbo bora kingekuwa kinyec angeenda kujisaidia lingepungua.. Mule kaweka ulbum ya nyimbo za ccm halitapungua hadi itoke madarakani.
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ukisha kuwa CCM bwana unafuatwa fuatwa na laana ya wizi na kutuibia .Watch out
   
 6. d

  deecharity JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  yap dats true na ndio mana hata kufikiria hawawez kabisa.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahhahaaa,,,siasa bhana,,,UNAPASWA KUCHUNGA SANA BAKULI(MDOMO),,,,UTAVULIWA NGUO ZOTE THEN UKAMATWE MIKONO
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Komba ni mfa maji kwani ameshajua kwamba 2015 jimbo lake linachukulia na CHADEMA.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  :biggrin1: nimeipenda hii...inabidi komba aisaidie mahakama maana kama alikua na uhusiano na mtoto wa miaka 17 that's statutory rape
   
 10. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnataka kunambia LULU ni chakula ya bwana kitambi?
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,907
  Trophy Points: 280
  Nimelipenda jibu hilo. Kama mtu mzima over 50 anaweza kufanya mapenzi na vibinti under 18 huyo ndio wa kupimwa akili.Wanarusha mawe wakiwa nyumba ya vioo
   
 12. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,396
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.
   
 13. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Presha inapanda, presha inashuka.
  Uone alivo kilaza. Baada ya kutoa dalili za ICU alizonazo akaanza kusema kwakweli jimbo langu ndilo masikini kupita yote. Inamaana wenzake wakiisema bajeti hii kuwa ni danganya toto haiihusu jimbo lake?
   
 14. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwanza Komba mwenyewe kama sio kutoa kafara hata ubunge angeusikia bombani,mshirikina mkubwa
   
 15. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Akawapime watoto wake kwanza maana ni matatizo matupu
   
 16. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu, upo nchi gani hulijui hili! "Kitambi" ndiye aliyemnunulia Lulu gari. Kama hiyo haitoshi inasemekana kuwa "Kitambi" anapenda sana "kupita mlango wa nyuma" na inasemekana mmoja wa watu anaowala ni Mkibosho mmoja mwenye bar pale Mwenge.
   
 17. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbali na inshu ya Lulu kama yale yanayoongelewa huko Songea kumhusu Komba yana ukweli,basi bila shaka yeye ndio anatakiwa kupimwa akili mara moja
   
 18. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Muoneeni huruma huyu bwana. Sidhani kama anajua yupo bungeni kwa kazi gani........... yeye anachojua ni kwaya, mashairi na ngonjera za propaganda........... Hivi hamshangai kwa nini huwa analala lala ovyo mjengoni?? Huwa anashindwa kufatilia mambo at higher level. Usije shangaa hata alipoongea alikuwa amekurupuka toka usingizini akimsikia Mwigulu akitapika sasa naye akajua hiyo ndiyo hoja yenyewe akairukia!!!
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,604
  Trophy Points: 280
  Samahani mkuu kwani wewe upo Tz kweli.

   
 20. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,025
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  Hata mie nashangaa!!!


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
Loading...