Ushauri tu:mama wema sepetu kaa mbali kabisa na vyombo vya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri tu:mama wema sepetu kaa mbali kabisa na vyombo vya habari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 22, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Kama uko karibu na mamayetu ukiwakama mzazi basi ninaomba umtumie ujumbe huu kwetu mamma yetu kipenzi najua uchungu wa mama kwa mtoto kama mtoto nionae mbali nashauri mama yetu ajihadhari na vyombo vya habari kama ataweza na mungu amsaidie kusahau yale yote yaliomtokea mwanawe
   

  Attached Files:

  • WEMA.jpg
   WEMA.jpg
   File size:
   218.6 KB
   Views:
   88
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Kwa ushauri zaidi afungue www.globalpublishers.info
  itamsaidia sana kumbe anapowaka kwa hasira anafumua waliolala
  pole mama nilikusikia sana clouds fm lakini hayo ndio malezi naamini wema si yeye kuamua kuwa hivyo kuna kitu ama alimiss
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Wazazi wengi makini huwa hawatetei mtoto wake hadharani kwa vitu ambavyo kila mwenye jicho anaviona, kwanini anaamini mtoto wake ameharibiwa na marafiki zake? kama anaamini rafiki wa Wema ni wabaya basi kuna mzazi mwingine pia ataamini Wema ana tabia mbaya. Huyu mama alitakiwa akae kimya aache jamii inayomzunguuka Wema ndio iamue ili kama kweli ameonewa kwa yote yanayotokea itafika muda tu jamii itaelewa na mwanae atasafishwa tu na vyombo vya habari. Mfano mzuri ni Lay Jaydee magazeti ya udaku yalimwandama muda flani (japo hakuwa na skendo kama za Wema) akawa anayajibu lakini mwisho wa siku alipopata washauri wazuri akaamua kupiga kimya leo Lady jaydee ni miongoni mwa wasanii wa bongo fleva wanaoheshimika kuliko wote. HAPA WEMA AMEHARIBIWA NA MAMA YAKE MAANA KWA JINSI MAMA ALIVYOKUWA ANATOA HOJA ZAKE NI SAWA NA MZAZI AMBAE SIKU ZOTE ANAAMINI MTOTO WAKE ANA TABIA NZURI KULIKO WENGINE, UTOTONI NAKUMBUKA KUNA WAZAZI WALIKUWA HATA MTOTO WAKE AFANYE NINI ANATETEA NA KAMA AKIPIGWA NA WATOTO WENZAKE MAMA ANAKUWA MKALI MPAKA WAZAZI WA YULE MTOTO. Nadhani mama Wema ni namna ya wazazi wa design hiyo kwa jinsi alivyokuwa anawaponda marafiki wa Wema pamoja na Diamond.
   
Loading...