Mfanyabiashara wa mazao anaitwa HANDO na mkulima pia ametekwa na kuchukuliwa kiasi cha fedha milioni themanini, kwa habari zisizo rasmi kwani kwenye kupeana huko sisi hatukuwepo.
Alishikiliwa...
DR Slaa amesema BW S Sita alikkwenda mwemyewe CDM kutaka kujiunga , yeye amejibu walimfuata na baada ya kusoma katiba ya CDM akaona awezi tena kujiunga nao. HAYA NANI...
polisi wanazuia mikutano ya chadema eti serikali inadai zoez la sensa linavurugika,je haya matamasha ya FIESTA,na mikutano ya vyama vingine(mfano CUF walifanya mkutano buguruni ijumaa) hayavurugi...
Hamjambo wanaJF. Mimi nategemea kuja TZ wiki ijao, kwa likizo baada ya kuondoka TZ kwa miaka mingi. Ushauri ninaotaka ni kuhusu matumizi ya mawasiliano. Je naweza nunua Sim card JNIA (Airport) na...
I have a vivid memory, siku anaongelea mgomo wa madaktari, alisema kuwa madaktari wataogezewa mishahara kama wafanyakazi wengine kati ya asilimia 15-20. Sio kweli, ni chini ya hapo tena sana...
Na Mwandishi wetu
Jumla ya WaTanzania waliohesabiwa katika sensa hii ya 2012 ni milioni 53 ,waliofikia umri wa kupiga kura ni milioni 47,waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 45.
Taarifa ya...
Jamani mbona watu wangu wanasahau sensa ya watanzania 2012? Nyie mlioko Takwimu, Mipango, Ikulu, na wadau wengine, mbona hatusikii lolote kuhusu sensa? Sensa ya mwisho ilifanyika 2002. Actually...
ccm na serikali yao wameamua kuongeza muda wa sensa,tafsiri ni kukomoa Chadema ambao wanajipanga kushambulia Iringa!
Strategy za kizamani zitasaidia kuikoa Ccm?
Wana jamvii,
Nimetafakari sana mstakabali wa taifa letu katika mfumo huu wa vyama vingi nikaona kuwa mbele kuna giza totoro. Hivi ni nani anapanga vipaumbele vya taifa letu? tunaliendesha taifa...
Ni ukweli usiopingika kuwa star tv sasa inazidi kuaminiwa,lakini nataka niwashauri waepuke tabia ya kuleta wachambuzi walewale kwa kila mada ,haiwezekani mtu mmoja awe na uwezo wa kuchambua kila...
Raisi JK amesema kwamba wale wote wasiohesabiwa katika siku 7 za mwanzo wataongezewa siku saba nyingine ila wanatakiwa waende kwa wenyekiti wao wa serikali za mitaa.
Wadau mnaionaje hiyo...
Leo star tv William Malecela Kasema alikuwa moja wa waanzilishi wa JF lakini alilazimika kujiondoa kwa sababu ya Itikadi ya kisiasa. Je Zito kuandamana na JK kwenda Ethiopia inatoa picha gani?. Je...
Habar wadau,naomba nitoe angalizo kwa yeyote yule kuwa kuna jamaa anajulikana kwa jina la TOZIR MALEKELA,huyu jamaa anapenda kujinasibu kuwa yeye anafanya kazi KITUO CHA UWEKEZAJI(T.I.C) na...
jamani naombeni ushauri naona kama yatafika ukingoni halafu nisifurukute niliajiriwa serikalini katika halmashauri moja hv nimefanya kazi mwaka nikaacha nikafanyia private nikaomba muh2 nikapata...
Kwanza huu mpango wao wa maboresho kwa nini wameuanzia wikiendi?
Halafu hawakusema tangu mwanzo iwapo ni mawakala wao wakubwa tu ndiyo watahusika kutoa namba mbili za mwanzo, na siyo mamia ya...
Hii inakuwaje watu zaidi ya 800 kwa pamoja
kuvamia mgodi wa ABG North mara kujaribu kuiba dhahabu mgodini ambapo watu wawili wameuawa, hivi sababu ni nini uonevu?
Kukata tamaa ya maisha au...
Leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kuhesabu watu, ni dhahiri kwamba zoezi hilo halita nihusisha.
Nimekuwa nawasubiri wanaohesabu watu kwa wiki nzima bila mafanikio na sasa naelekea kwenye shughuli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.