Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la polisi nchini limezidisha uonevu kwa raia badala yakuwarinda na mali zao. Limekuwa likilalamikiwa ktk uonevu mwing bila viongozi wa juu kuchukua hatua yoyot dhidi yao. Wanaomba...
1 Reactions
0 Replies
813 Views
IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima naitanguliza mbele wakuu. Kwa masikitiko na huzuni kubwa kufuatia matukio ya mauaji yaliyofuatana na yaliyofanywa na jeshi linalio jinadi kuwa ni la 'usalama wa raia' najiuliza hivi hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHANZO, habari kwa ufupi ya chanel ten!
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Akizungumza na radio one mara baada ya kikao kilichoshirikisha pande mbili, CHADEMA na jeshi la polisi na kuudhuriwa na IGP Said Mwema, kamanda wa polisi mkoan Iringa Michael Kamuhanda , DK.SLAA...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
================================================================================================================ BOFYA HAPA: Mwandishi afa katika mkutano wa Chadema...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwa anayejua SIMBANKING ya crdb inavyofanya kazi anijuze kupiti PM- private message tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kweli ni jambo la kuhuzunisha kama kweli lengo ilikuwa ni kusimamia zoezi la sensa lisikwamishwe kwa kuzuia mambo ya kisiasa, hadi kupelekea kifo kwa Mtanzania huyu. Je ni sensa ipi...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Wabunge EALA wabaini vikwazo vya maendeleo Jumatatu, Septemba 03, 2012 05:15 Otilia Paulinus na Aziza Hassan, Dar es Salaam WABUNGE wa Bunge la Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lowassa haachi mafumbo.Mara ooh,nitapambana hadi kieleweke;mara ooh,niko tayari fiti kuendeleza mapambano.Jana,Lowassa amesema hawezwi.Amedai kuwa wanaomchafua hawamnyimi usingizi.Hakuwataja watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Asubuhi ktk kipindi cha patapata nilimsikia kamanda wa police Iringa........Kamihanda akilisafisha jeshi la police kuwa halihusiki na tukio la kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi aliyeuawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
http://www.standardmedia.co.ke/?videoID=2000059999&video_titl e=Facebook-:-A-prostitution-ring?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nimeona nipost thread yangu hii ili tuweze kuwa na uwanja mpana zaidi wa kujadili mambo kadhaa ya nchi yetu hasa suala la Kilimo na uchumi wa nchi yetu. Ninapata shida sana baada ya kubaini...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni Waziri Mkuu mstaafu. One of the best Prime Ministers Tanzania has ever had. Hongera Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72 leo. Jamii Forum ni mahala pia pa kutakiana heri na si kama baadhi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TTB mpo wapi? Hivi hamuwajui wabongo kwa ubahili na kupenda bure? Eti atume sms achajiwe credit yake na chaji yake ipungue?kisa! Eti anaupigia kura mlima.,atasema huo ni ulaji CHA KUFANYA...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya kuona polisi wamekuwa wakiua raia unnecessary,nikawa nimeshindwa kuwaelewa.Ikabidi niende kwenye web site yao kutafuta information labda naweza elewa kwanini wanaua raia.Lakini sijaona...
1 Reactions
4 Replies
12K Views
Mwaka 2008 asilimia 75 ya ajali za barabarani zilisababishwa na sababu za kibinadamu kama mwendo kasi, uzembe wa madereva, kuendesha ukiwa umelewa n.k , wakati hali ya barabara na ubovu wa magari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
MTANJWA HAPO JUU wakuu nipeni mawasiliano yake, email staki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom