kwa wale ambao wanaendelea kuamini propaganda za wanasiasa kuwa cdm wanaleta vita na kuhamasisha vurugu yapasa wajiulize mara mbili.
Angalieni hapa msije sema hatukuambiwa!
Siku ya Jumamosi kaka yangukatika nyumba tunayoishi alikwenda kwa wakala wa Tanesco kama ilivyoorodheshwa na tangazo la shirika hilo na kununua umeme wa jumla ya uniti 35.
Akapewa karatasi yenye...
naishi eneo ambalo lina nge wengi sana mpaka huwa wanaingia ndani. Nahofia wasije wakasababisha madhara kwa mtoto wangu wa mwaka mmoja. kwa yeyote anayejua dawa ya kuua au kufukuza nge anisaidie...
Zoezi la kuhesabu watu (SENSA) limeongezewa muda wa wiki moja baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya maeneo hayajafikiwa.
Napenda kuwakumbusha kuwa ili kupata takwimu halisi ya Watanzania ni...
Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu ameacha mwangwi kwenye Mkutano wa Mawakili-AICC Arusha. Ameonesha jinsi asivyotetereka na kusimamia anachokiamini. Amethubutu kusema na kuwaita Mawakili...
KISWAHILI KINATUSAIDIA SANA;
Mara nyingine nawaza kwamba lugha yetu imetusaidia sana kulinda heshima ya nchi yetu, imetusaidia sana kuficha matatizo na habari nyingi mbaya zinazojitokeza kila...
Nimemsikiliza huyu mama akihojiwa na sudi mnete wa idhaa ya kiswahili redio DW,amesema kwamba kuna watu 30 wamekamatwa wakitokea Iringa kwenda mbeya ambao wanawahisi ndio waliosababisha vurugu...
Baada ya zaidi ya miaka 50, kwa mara ya kwanza nchi ya karibu 90% Waislamu, mtangazaji wa habari katika TV ya taifa, Kavaa hijabu.
Egypt's Veiled Presenter in Breakthrough TV Appearance
A...
If an Indian can get goods or services at cheaper than the asking price, he considers his day well spent.
Here is a true incident that took place in NYC some time ago, to illustrate this point...
Nimeona na kusiki mwandishi mmoja katika kikao chao walichofanya hapo Morogoro akitamka kuwa Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani katamka kuwa marehemu ameuliwa na Bomu la machozi lililokuwa...
Nafuatilia kipindi cha makutano show magic fm muda huu saa 9 na robo alasili hii,, kuna huyu jamaa anaitwa sebo anashambulia CDM kama mtu aliyetumwa, anazungumzia vurugu na mauaji ya morogogoro...
habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha uhakika Mkuu alitembelea Madale siku ya ijumaa kabla ya safari na kuwaeleza wakazi wa madale Ujenzi ruksa kuendelea na ujenzi, na waliobomolewa walipwe.
1. Sauti zao wanyonge hazikusikilizwa kabisaa! Walijenga magorofa ya mabilioni ya fedha, wakala kwa starehe hawakuwakumbuka wanyonge hata kwa tone moja la maji na kipande cha mkate. Hapa napo...
Imefika wakati wa kujiuliza mara mbili mbili kama kweli Jeshi la Polisi lipo chini ya maslahi ya CCM
Ni vema tukaangalia kwa kina juu ya utendaji wa jeshi hili na hali halisi ya mwananchi wa...
Polisi wameua Igunga, Mbeya kwenye maandamano ya wafanyabiashara,Morogoro Iringa,Arusha,Maswa,mateso ya Dr. Mabwepande nk.Mabalozi wapo kimya kama hawapo.
Kwenu Waandishi Wa Habari na Wamiliki Wa Vyombo Vya Habari Tanzania.Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten...
Mh katibu wa uvccm akihojiwa amewashauri viongozi wa chadema kujitathmini kama kweli wanaeza kuongoza kutokana na kila mara wanapofanya mikutano mauaji yanatokea kweli wanauwezo wa...
Jeshi la polisi nchini limezidisha uonevu kwa raia badala yakuwarinda na mali zao. Limekuwa likilalamikiwa ktk uonevu mwing bila viongozi wa juu kuchukua hatua yoyot dhidi yao. Wanaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.