Serikali kuongeza muda wa sensa ni kudhIbiti Chadema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kuongeza muda wa sensa ni kudhIbiti Chadema!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Sep 2, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ccm na serikali yao wameamua kuongeza muda wa sensa,tafsiri ni kukomoa Chadema ambao wanajipanga kushambulia Iringa!
  Strategy za kizamani zitasaidia kuikoa Ccm?
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Acha waweweseke, kiama chao mbona kilishawadia.  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
   
 3. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Maandalizi yalikuwa ya hovyo sana ukiongeza na kutoridhishwa kwa waliotegemewa kufanya zoezi lenyewe kwa hivyo usitegemee smooth sailing hapo...
   
Loading...