fiesta vs mikutano ya M4C

fiesta vs mikutano ya M4C

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
230
Reaction score
57
polisi wanazuia mikutano ya chadema eti serikali inadai zoez la sensa linavurugika,je haya matamasha ya FIESTA,na mikutano ya vyama vingine(mfano CUF walifanya mkutano buguruni ijumaa) hayavurugi sensa?
 
Back
Top Bottom