kisu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 1,004
- 381
Hamjambo wanaJF. Mimi nategemea kuja TZ wiki ijao, kwa likizo baada ya kuondoka TZ kwa miaka mingi. Ushauri ninaotaka ni kuhusu matumizi ya mawasiliano. Je naweza nunua Sim card JNIA (Airport) na ni bei gani na ipi kampuni bora (voda/airtell/tigo etc)kwa huduma. Pili, kuhusu kuchenji dollar afadhali mjini kuliko airport au nikachenjie Mwanza nakofikia? Tatu, kuhusu vibaka (Pickpockets) ni sehemu gani maarufu (Dar/MZA) kwa haya mambo na ni zipi dalili zao? Asanteni kwa msaada wenu na ushauri wowote mzuri unakaribishwa.