Wakuu wa Guinea wanasema kuwa watu takribani 30 wamekufa kwenye ajali ya mashua katika bahari ya Atlantic, Ghuba ya Guinea.
Inaarifiwa kuwa mashua hiyo ilikwenda mrama kwa sababu ya dhoruba...
Wakuu.
Mm ni mtumishi wa umma idara ya elimu. Mpaka leo tar 31 mishahara haijaingia bank.
Inasemekana hela za mishahara wamelipwa watu wa Sensa mana waligoma na serikali haikua na hela...
A Census measures absolutely everyone in the whole country. A representative Survey measures a small number of people who fit a particular category of people. SO where we at?
Jana asubuhi sikwenda kazini, nikafika kwenye ofisi za afisa mtendaji wa kata kutoa taarifa kwamba Mimi na Familia yangu hatujahesabiwa, nikawaelekeza ninapoishi na wakaniambia kabla jua...
na Igenga Mtatiro, Tarime | Tanzania Daima - Sept 01, 2012
JESHI la Polisi limeingia katika kashfa nyingine tena, baada ya askari wake kuwaua kwa risasi watu wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa...
:yawn: Mimi nikiwa mmojawapo sijahesabiwa naomba na wengine mjiorodheshe ili serikali iweze kufanya tathmini ni wangapi hawajahesabiwa.
Kwa upande wangu nimesikitishwa na jinsi watu wanavyojibu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) ilifanya kikao na wasafirishaji na kuweka mikakati ya utekelezaji wa agizo la Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe...
Amri ilitolewa ndani ya bunge la Tanzania na Mh.
Mwakyembe waziri wa miundo mbinu kuwa ni marufuku kwa wenye mabasi kusimamisha magari yao njiani yakiwa na abiria porini kwa ajili ya watu...
Kuna kijana mmoja mfanyabiashara hapa Lindi mjini anaitwa OLIVER.
Ameachana na mkewe na mkewe amefungua kesi ya madai ambapo inabidi amlipe mkewe sh.10,000,000/= kwa vile mali walichuma pamoja...
Nimetoka kuangalia ITV wameonesha wanajeshi wa Tanzania,wameenda kumtembelea nyumbani kwake na kusaidia katika kazi za nyumbani.
Nimeona nyasi walizokuwa wanafyeka wanajeshi hao,kweli zinatisha...
Ni lini daktari kikwete atakuja kujibu tuhuma,maswali hapa JF? siwezi kumfananisha na Obama ambae juzi aliingia online kwenye mtandao wa kijamii wa REddit na kujibu maswali mbali mbali live toka...
I just visited TRA website.
It seems that they are doing a good job trying to find out from people they serve.
If you have ever dealed thit TRA please take some few min to cast your vote...
Dhuluma na ubaya huzunguka, na mwisho hujikuta unawafikia hata wale wasiotarajiwa na hapo ndipo haki huonekana ni lazima
Alipouliwa yule mtendaji wa kata kule Arusha serikali ilipiga kimya as if...
Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.
Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi...
Kuna forum ya India ya mijadala ya kilimo.
Huwa naitembelea kupanua mawazo juu ya kilimo katika nchi ambayo ni maskini lakini ina maendeleo ya kuridhisha.
Katika pitiapitia katika blog hiyo...
Mheshimiwa ,tulifikiri ni mtu makini kumbe na wewe una matatizo ya akili.Unajua ulishawahi kuwa mwenyekiti wa TANAPA?.wewe umehusika moja kwa moja kuuza wanyama,na kutoa leseni za kuua wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.