Matokeo ya Sensa- Jumla ya WaTanzania ni ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Sensa- Jumla ya WaTanzania ni ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, Sep 2, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Na Mwandishi wetu
  Jumla ya WaTanzania waliohesabiwa katika sensa hii ya 2012 ni milioni 53 ,waliofikia umri wa kupiga kura ni milioni 47,waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 45.

  Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2015.

  Na Mwandishi wetu.
  Matokeo ya Uchaguzi CCM imeibuka kidedea kwa kupata kura za Raisi milioni 31,kura laki tisa zimeharibika.Kwa upande wa wabunge CCM imeshinda kwa ushindi wa kimbunga imezoa viti vyote na kubakiza 50 ambavyo imevigawia kwa vyama vya upinzani.

  Maamuzi ya Tume ya Uchaguzi ni lazima yaheshimiwe na hakuna wa kuyahoji wala kuyapeleka mahakamani. Tume imeviomba vyama vya siasa kuyakubali matokeo kwani uchaguzi ulikuwa wa haki na usawa na hata wasimamizi wa kimataifa wamesema hakukuwa na vurugu ,isipokuwa matatizo madogo madogo ambayo ni ya kawaida katika chaguzi.


  Habari za wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanaema sensa ya safari hii ni ya electronic vyama vya siasa lazima viwe macho kwa changa la kimbunga.
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  nadhani hii ni kwa waliofaulu vizuri fasihi, mi naona gizagiza tu, anyways, sometimes sio lazima kuelewa kila kitu.
  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Umesahau tarehe: Ni Ijumaa November 13, 2015
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  taarifa hyo cjui umeitoa wap wakati mi madodoso yangu nmefungia chumban.
   
Loading...