Wadau kuweni makini,kuna mtu anatapeli kwa kutumia taasisi ya T.I.C(TANZANIA INVESTMENT CENTER)

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Habar wadau,naomba nitoe angalizo kwa yeyote yule kuwa kuna jamaa anajulikana kwa jina la TOZIR MALEKELA,huyu jamaa anapenda kujinasibu kuwa yeye anafanya kazi KITUO CHA UWEKEZAJI(T.I.C) na hutumia fursa hiyo kuwatubuni watu kuwa kuna fursa za uwekezaji pale kwa wajasiriamali wadogo.

Na isitoshe huyu jamaa ukienda T.I.C unaweza ukamkuta vilevile,hata kwenye baadhi ya ofisi huingia, nimeshindwa ku-upload picha yake ila namba zake ni 0715776680;0783776680;0756776680,
binafsi amenitapeli na kwa sasa namtafuta na nimeshatoa taarifa polis,
ila utapeli wake haujaishia hapo.

Anatapeli hata kwenye taasisi za kidini hasa misikitini na kwenye madrassa kwa kujifanya anaweza akawasaidia waumin ujenz wa madrassa au msikiti,kwa kuwasiliana na mama salma kikwete,dr Bilali na vigogo wengine,

ntakapopata access ntaweka picha yake hapa,maeneo anayopenda kutembelea ni Mwanza eneo la Buzirugwa,makumbusho ambapo kwa sasa amehama,kawe na posta,,,,,,pia hujifanya ana uwezo wa kuwatafutia watu ajira,kwa watakaotembelea fb waende mwanza indigenous society huko wataiona picha yake
 
Duh, pole kaka, ndoo vijana wa siku hizi hao wanataka matunda bila kazi
 
Na tena huyu jamaa,hapo awali alikua anapenda sana kutembelea maeneo ya MSIKITI WA MWEBECHAI,HUKO NAKO AMESHATAPELI,
 
Back
Top Bottom