Sijahesabiwa na sintahesabiwa!

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kuhesabu watu, ni dhahiri kwamba zoezi hilo halita nihusisha.

Nimekuwa nawasubiri wanaohesabu watu kwa wiki nzima bila mafanikio na sasa naelekea kwenye shughuli za kulijenga taifa. Inamaana hata wakija nyumbani hawatakuta mtu.

Hii inamaana kwamba, wasipopita leo, hata majirani zangu pia hawatahesabiwa sababu mawakala hao hawajapita kabisa mtaani kwetu hadi sasa. Najiuliza nifanye nini ili nihesabiwe. Na kama nisipohesabiwa, nani awajibike?
 
Utakamatwa haujamsikia JK wewe? Au haujasoma tangazo la afisa mtendaji wa osterbay make sure your accountable in the censer.
 
Utakamatwa haujamsikia JK wewe? Au haujasoma tangazo la afisa mtendaji wa osterbay make sure your accountable in the censer.

Nifanye nini sasa? Maana siwafahamu hao mawakala na hawajapita kabisa mtaani kwetu! Hapa ninapoishi nimehamia miezi kama mitatu iliyopita. Simfahamu m/kiti wa mtaa wala balozi.
 
Ponda mwenyewe keshahesabiwa sembuse wewe siku zimeongezwa utahesabiwa tu hata kama utaondoka taarifa zako zitakuwepo tu hapo ulipolala siku ya kuamkia 26 agost.
 
sijahesabiwa pia sijawaona mawakala na siwatafuti mtaani kwetu walinifanyia ujinga wakati wa vitambulisho vya uraia nikatoa buku 2 zangu matokeo yake sijaandikishwa mpaka leo na sensa pia walipita siku ya 1 nikiwa kibaruani sijawaona teeeena najua nikienda watataka buku mbili so nawapotezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom