JK alidanganya- mishahara sio 15-20% increment

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
I have a vivid memory, siku anaongelea mgomo wa madaktari, alisema kuwa madaktari wataogezewa mishahara kama wafanyakazi wengine kati ya asilimia 15-20. Sio kweli, ni chini ya hapo tena sana. KUMBE NA MARAIS WANASEMA UONGO!
 
Huyu raisi wakati mwingine anafanya vitu vya ajabu sana. Kulikuwa na ulazima gani wa kusema uongo wakati anajua kuwa mshahara umeongezwa kwa 7-18% tu?
 
Huyu raisi wakati
mwingine anafanya vitu vya ajabu sana. Kulikuwa na ulazima gani wa
kusema uongo wakati anajua kuwa mshahara umeongezwa kwa 7-18%
tu?

Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%
 
Huyu raisi wakati mwingine anafanya vitu vya ajabu sana. Kulikuwa na ulazima gani wa kusema uongo wakati anajua kuwa mshahara umeongezwa kwa 7-18% tu?

acha kumlaumu raisi bure ndugu,ye mwenyewe hajui
 
Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%
Wewe unajua maana ya research au unaongea tu kwa sababu ulishakutana na hiyo nukuu? Hebu tafuta waraka wa utumishi wa Julai 2012 ili uone kati yangu na JK wako nani muongo.
 
I have a vivid memory, siku anaongelea mgomo wa madaktari, alisema kuwa madaktari wataogezewa mishahara kama wafanyakazi wengine kati ya asilimia 15-20. Sio kweli, ni chini ya hapo tena sana. KUMBE NA MARAIS WANASEMA UONGO!

kumbe ulikuwa hujui,kama rais nae ni mwanasiasa, sasa ujui kama siasa ni uongo tu.
 
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.
 
Kulingana na udhaifu alionao, wa kushindwa kufanya maamuzi magumu mara nyingi huwa anadanganywa na hata mara nyingine kufungua miradi hewa.
 
I am prompted by my sincere heart to fret over President like JK..............yes FRET (KUKASIRISHWA KULIKO NA GADHABU YA KUTAKA KUTOA ROHO YA MTU), Kwani ilikuwa lazima adanganye?.
 
He is the master of propaganda,if you see him propagating on something you will forced to believe him while its not true.
 
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.

ni ukweli, lakini ndo ivyo tena, nchi inaendeshwa hii kisiasa zaidi, tena skuizi vyama vyote vya siasa vimeanza kampeni za uraisi wa 2015 siku chache tu baada ya kuapishwa rais 2010! yani hata kwenda chooni mtu unaenda kisiasa tu daah
 
Inawezekana aliongea kitu ambacho hakifahamu, sio kosa lake labda alipotoshwa na wapambe wake.
 
Halafu TUCTA ambayo inakomba pesa nyingi kutoka kwenye mishahara yetu tena kwa lazima iko kimya. Ipo siku watu wataamua kutembeza bakora kama former DC Mnare!
 
Wewe unajua maana ya research au unaongea tu kwa sababu ulishakutana na hiyo nukuu? Hebu tafuta waraka wa utumishi wa Julai 2012 ili uone kati yangu na JK wako nani muongo.

Wacha ushabiki wako wa vyama jk ameongeza mshahara
 
Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%

Ngoja ni-scan salary slip zangu za juni na july nizimwage hapa jamvini ili ukweli uonekane, labda kama walioongezewa mishahara ni TRA au Nishati na madini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom