Tanesco! Tanesco! Acheni kuwasumbua wateja wenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco! Tanesco! Acheni kuwasumbua wateja wenu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Sep 2, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwanza huu mpango wao wa maboresho kwa nini wameuanzia wikiendi?
  Halafu hawakusema tangu mwanzo iwapo ni mawakala wao wakubwa tu ndiyo watahusika kutoa namba mbili za mwanzo, na siyo mamia ya mawakala wengine mitaani.
  Aidha mamia ya wateja baada ya kukaa kwenye misururu mirefu kungojea huduma, b aadaye wanarudi kwa wakala hao hao kulalamika kwamba manunuzi ya umeme hayaingii kwenye mita!
  Halafu Tanesco mnakaa kimya, hamji na maelezo ya kueleweka wateja wafanye nini kuhusu tatizo hilo.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeshuhuda hayo mambo. Siamini iwapo mamia ya walalamikaji walifungiwa LUKU zao na vishoka -- haiwezekani! Kama ni kweli basi kumbe Tanesco ilikuwa imeoza kuliko tulivyofikiri.

  Come up Tanesco! Explain.
   
 3. n

  ngala moja Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna tetesi kuwa mtandao wao wa malipo ya LUKU wajanja waliumiliki.so malipo yalikuwa yanaingia mifukoni mwa wajanja hao. nasema hii ni tetesi ingawa lisemwalo lipo kama halipo laja!!!!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimesikia kwamba huchukuwa zaidi ya saa 24 baada ya kulipa ndiyo Tanesco wana-activate mtandao wao! Lakini hili pia nasikia tu -- ni vyema Tanesco wenyewe wakasema.
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  nchi hii kila mahali ni fully udhaifu...issue ndogo kam hii inatusumbua jamani??? Sijui tunapoelekea kwakweli...cna umeme tangu jana,me nilissema poa tu c ntanunua jumamosi asubuhi,wameniuzia afu token ...aziiingii,jamaa wanabore sana..
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hizo token lazima upewe mbili ukiona zinagoma jaribu kuweka umeme wako lazima ukubali..
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu asante sana...nilikuwa nimeshakata tamaa nasubiri jinsi ya kwenda tanesco kesho...hiyo ya kusubiri masaa 24 baada ya kununua umeme inawezekana ni kweli maana jana nilinunua umeme ahsubuhi na nikajaribu mara mia kidogo kuuingiza lakini wapi, ila baada ya kusoma hii post yako, nimejaribu kuuingiza tena leo na umekubali...ahsante sana mkuu...
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tanesco iligeuzwa kuwa shamba la bibi. Mfumo wa Luku ulikuwa unaneemesha wajanja wachache. Jambo linalonishangaza ni kwanini hadi sasa Ngeleja hajahojiwa na vyombo vya sheria?
   
 9. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,197
  Likes Received: 1,327
  Trophy Points: 280
  thus way tunamaibia hadi leo
   
Loading...