Hebu ngoja kwanza, watu 800 kwa pamoja?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu ngoja kwanza, watu 800 kwa pamoja??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchemsho, Sep 1, 2012.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hii inakuwaje watu zaidi ya 800 kwa pamoja
  kuvamia mgodi wa ABG North mara kujaribu kuiba dhahabu mgodini ambapo watu wawili wameuawa, hivi sababu ni nini uonevu? Kukata tamaa ya maisha au wameshawishiwa..bado natafakari (itv news 2000hrs)
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nami nimejiuliza hapa,,,,,,,ila nacheka tu wenye mali wanauliwa,while walinzi wa wenye mali wanawaua wenye mali,ikiwa na wao(polisi)ni wenye mali ingawa wanawatetea wezi waibe hizo mali ambazo ni za polisi na wenye mali
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Inanikumbusha enzi za ukoloni.
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nimeona watu kwenye TV, ila siajamini kama ilikuwa "live" kwani picha zinaweza kutolewa kwenye "makabati".
  Inaweza kuwa sawa kwa kuwa watu waliochoka hujiamulia kuvamia na kuharibu mali walizoibiwa na wenye nguvu, je unakumbuka visa vya mashamba ya Arusha?
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Vyombo vya dola havipo makini watu 800 kupanga mkakati bila kushtukiwa ni jambo la hatari sana.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  vyombo vya dola na usalama kwa ujiumla wake vilizikwa pale mwitongo baada ya Nyerere kufariki. Tazama vinavyotia kichefuchefu:

  . Walimu walipanga mgomo na kuwaandaa watoto kuwaunga mkono- wakafanikiwa.

  .madaktari waliandaa mgomo kwa muda mrefu, wakafanikiwa.

  . Magufuri alikamata meli iliyokuwa ikivua samaki bila kibali, meli imenyofolewa vifaa muhimu na sasa inazama, hakuna anayewajibika.............
   
Loading...