Msaada: Ni nini kinahitajika kujiunga BAVICHA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Ni nini kinahitajika kujiunga BAVICHA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kuku dume, Sep 1, 2012.

 1. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nipo Kimara...nahitaji kujiunga na BAVICHA.
  Nini kinahitajika?
  Niende wapi?
  Naomba msaada wenu ndugu zangu. Nchi hii ni yetu...tuijenge SOTE!
   
 2. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nisaidieni jamani.
   
 3. G

  Ginner JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  hauko peke yako mkuu unaetaka jibu la hili swali.. atakaejibu vyema atakuwa ametusaidia wengi
   
 4. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kwanza uwe Mwanachama HAI wa CHADEMA
  umri kati ya miaka 18-35,hayo ndio masharti ya msingi,ukiwa na hayo nenda kwenye ofisi ya CHADEMA iliyo karibu nawe,utapata msaada au nenda makao makuu Mtaa wa Ufipa Kinondoni
  Pia waweza jaza fomu online Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  Karibu kwenye jeshi la ukombozi
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inabidi uwe na moyo wa kuandamana,hata kama una kazi ya msingi uiache ukaandamane.
   
 6. Babarita

  Babarita JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Gamba@work
   
Loading...