Ushauri jamani

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
jamani naombeni ushauri naona kama yatafika ukingoni halafu nisifurukute niliajiriwa serikalini katika halmashauri moja hv nimefanya kazi mwaka nikaacha nikafanyia private nikaomba muh2 nikapata sasa nafanyia hapo.

Je, nauliza kuhusu payrol haijtaleta mkanganyiko japo nina mwk tangu niache na walisha hakiki wafanyakazi waliopo ushauri please niendelee au napoteza muda
 
Sijakuelewa vizuri, hebu edit vizuri ili nikuelewe na niweze kutoa ushauri. Weka mkato, nukta n.k.
 
Ninavyojua mimi laiti kama ungekuwa nchi nyingine hivi ndio ingeleta tatizo lakini kwa nchi hii y Tanzania hata usiwe na wasi wasi mkuu, hakuna tatizo wala mkanganyiko wowote utakaotokea.

Kuwa huru kabisa ndugu yangu.
 
Ninavyojua mimi laiti kama ungekuwa nchi nyingine hivi ndio ingeleta tatizo lakini kwa nchi hii y Tanzania hata usiwe na wasi wasi mkuu, hakuna tatizo wala mkanganyiko wowote utakaotokea.
Kuwa huru kabisa ndugu yangu.

thanks very much
 
Sijakuelewa vizuri, hebu edit vizuri ili nikuelewe na niweze kutoa ushauri. Weka mkato, nukta n.k.

Hata mie sijampata,Aendelee wapi sasa Private au Muhimbili? Je muhimbili amepata kazi au amepata chuo kusoma?

Payrol anayozungumza hipi ya halmashauri ambapo ameacha au wapi?
 
Hata mie sijampata,Aendelee wapi sasa Private au Muhimbili? Je muhimbili amepata kazi au amepata chuo kusoma? Payrol anayozungumza hipi ya halmashauri ambapo ameacha au wapi?

nimepata kazi muhimbili na nimeshaanza kitu kinachonisumbua ni je payroll itatoka mpya maana tayari ilisha wahi kutoka wakati nilipokuwa halmashauri?

Na kumbuka nilishaacha huko halmashauri nina mwaka sasa na walishapita kuhakiki watumishi na ilinibidi niache kutokana na matatizo yaliyonipata wakafunga mshahara nimeeleweka sipo private ila ni serikalini
 
nimepata kazi muhimbili na nimeshaanza kitu kinachonisumbua ni je payroll itatoka mpya maana tayari ilisha wahi kutoka wakati nilipokuwa halmashauri? Na kumbuka nilishaacha huko halmashauri nina mwaka sasa na walishapita kuhakiki watumishi na ilinibidi niache kutokana na matatizo yaliyonipata wakafunga mshahara nimeeleweka sipo private ila ni serikalini
Hapa sasa nimekupata...
Usiwe na wasiwasi hakuna tatizo lolote, utapata mshahara kama kawaida.
 
Uliacha officially kabisa au ulipotea tu? Kama uliacha vizuri si maana yake walikutoa kwenye pay roll?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom