Star tv tuongee asubuhi na wachambuzi walewale kila siku!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv tuongee asubuhi na wachambuzi walewale kila siku!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Determine, Sep 1, 2012.

 1. D

  Determine JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni ukweli usiopingika kuwa star tv sasa inazidi kuaminiwa,lakini nataka niwashauri waepuke tabia ya kuleta wachambuzi walewale kwa kila mada ,haiwezekani mtu mmoja awe na uwezo wa kuchambua kila kitu.Nawasilisha
   
 2. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nimemkariri mmoja anajiita mwanaharakati,wana boa sana kama mwanza hakuna wachambuzi bora wawe wanawaalika wanafunzi wa chuo kikuu SAUT
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,520
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Kwa bahati mbaya sipati muda wa kuangalia TV, ila si sahihi kuwatumia wachambuzi hao hao; yafaa kuwa na guest speakers wengi kwani Mwanza ni mji mkubwa, hivyo, naamini una wasomi, hususani Maprofesa na Madokta kutoka SAUT
   
 4. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,310
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  kuna yule mmoja alikuwa kituo cha mwanza ana kialama usoni .sijui wanamwekaga wanini hafai ata huyu dilunga bure tuu
   
 5. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 7,713
  Likes Received: 1,316
  Trophy Points: 280
  Kama umewachoka hao ukisikia ya ATN na wachambuzi wao wa soka si ndo utatapika kabisa!!?
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,954
  Likes Received: 22,099
  Trophy Points: 280
  me naangalia tv sibuka kipindi cha HOJA ZA MWALIMU RWAITAMA.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...