The Chairperson of the African Green Revolution Alliance, Dr Koffi Annan and Mrs Melinda Gates, who is the Co-chairperson of Bill and Melinda Gates Foundation, have both been impressed by...
Wadau nimekuwa nasoma threads na posts nyingi humu, watu wakijiuliza iweje Wakenya wanatuzarau sana sisi Watanzania?
Leo kupitia kipindi cha jarida maridhawa cha STAR TV nimesikia kuwa Nchi yenye...
Imekua ni fasion siku hizi kwa kila kijana ambae anaamini katika cdm na sera zake(ingawa wengine hata hawazijui) kujadili kuhusu the coming election of 2015 kama vile its tomorrow!,Kama kuna mtu...
Ni hari ya ukame na njaa katika kata ya Oljoro iliyopelekea wananchi kushindwa kujishughurisha na shughuri zingine za kiuchumi na imepelekea mbubge wa Simanjiro kifika na kutoa ahadi yenye...
wana JF,takriban miaka saba imetimia tangu tukio la mtu mmoja alipomvamia ghafla Mh JK,katika uwanja wa CCM kirumba kutoka jukwaani alipokuwa akihutubia umati wa wana CCM katika kapeni ambazo...
Since asubuhi maeneo ya kinondoni umeme unakatika na kurudi,hatuelewi nini kinaendelea,kama ni ufundi mnaousema,huu ufundi wa namna gani wa kutaka kuchoma vifaa vya wananchi,umeme unakatika hata...
Mimi binafsi kama nitapewa nch hii cha kwanza nitaongeza mishahara kwa askar polisi kwa sabbu wanafanya kaz ngumu na pia kaz zao ni riski...,alaf pia nitaboresha miundo mbinu na nitahakikisha watu...
Makubaliano ya Chadema na CUF kusafisha njia ya kupitisha Meya wa Chadema na Kaimu CUF ndoa yao ya mkeka imekuja kutalikiwa na sintofahamu ya kinachoendelea Arusha hali halisi inaweza kusomeka...
Naomba serikali yetu hususa wizara ya utumishi itoe tamko juu ya mavazi sehemu za kazi. Hivi sasa imekuwa ni majezi ya timu mbalimbali kuvaliwa sehemu za kazi. Utamaduni huu jamani unatokea wapi...
Glasgow Airport staff seize 36 giant African land snails UK Border Force officers have seized 36 live giant African land snails from a Nigerian man at Glasgow Airport. The snails, which the...
Asalaam Alekum
Ndugu wana jamii nimekuwa msikilizaji wa Redio imani karibu kwa muda wa miezi 6 sasa mfululizo bila ya kubadilisha kwa kweli nimejifunza mengi mno na nimekuja kugundua baada ya...
Kwanza nianze kwa kukupa pongezi ya kupanda cheo sambamba na kupanda madaraka kutoka Ukuu wa JKT hadi kuwa Mnadhimu wa Jeshi kwa ujumla.
Nimepata kupitia habar/tetesii zinazotapakaa baada ya wewe...
BONYEZA VIDIO chini kuhusu kongmano la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
VIDEO – SENIMA BARAZA LA WAWAKILISHI 2 | Mzalendo.net
Tumechokaaaaaa | Mzalendo.net 3
Hii Kampuni inayolindwa na Wanasiasa Mafisadi, licha ya malalamiko mengi kwa uongozi wa VODACOM kutupilia mbali udhamini wa tovuti unaowafundisha watoto wetu ukahaba, yaanu U-turn Blog, uongozi wa...
Neno la Leo: Ni bora kufa nikiwa nimesimama kuliko niishi nikiwa nimepiga magoti!
Rafiki yangu mmoja baada ya kunyanyaswa sana na bosi wake aliamua jana kuacha kazi. Angeweza kuendelea na...
Someone in US commenting on the recovered 4.4 million jobs since early 2010, "The industrial age is over, its now the digital age. If you don't have at least a college degree with something...
Watanzania ni lazima tufikirie mbali ili nchi yetu iweze kuendelea!
Imefikia wakati wa elimu ya juu kutolewa kutokana na matakwa ya uchumi wetu wa baadae. Kama Zitto alivyosema ni lazima...
Kampuni ya kizungu huko mjini Mbeya,imesaini mkataba na kijiji kiitwacho Siza kwa 392 mill,kwa ajili yakumiliki sehemu ya ardhi yenye dhahabu.Mkataba huo unatarajiwa kuisha 2020.
source;Star TV...
Mimi ni mtu ambaye nimeshakinaishwa na Tamthiliya za huyu Zitto Kabwe na ndio maana nilikuwa nasubili kwa hamu nione coverage ya magazeti ya leo yatakuwaje, kama ilivyo kawaida na desturi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.