Hii ndio Kenya kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio Kenya kwa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GreenCity, Sep 26, 2012.

 1. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wadau nimekuwa nasoma threads na posts nyingi humu, watu wakijiuliza iweje Wakenya wanatuzarau sana sisi Watanzania?
  Leo kupitia kipindi cha jarida maridhawa cha STAR TV nimesikia kuwa Nchi yenye investments nyingi zaidi hapa kwa JK ni U.K ikifuatiwa na jirani zetu KENYA. (source STAR TV leo tar 26 sept saa 07 am)
  Kwa mtazamo wangu naona hii yaweza kuwa moja ya sababu sisi kuonekana mazuzu.
  Naomba kutoa hoja.
   
 2. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Uzuzu u wapi?
   
 3. C

  Cha-phile Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia watz weng wanaajir kenyan
   
 4. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  I you come to Kenya you would have a different opinion, Gikomba has got too many Tanzanians which is good for social integration.
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Kenya inafuatia kwa kuwekeza Tanzania, baada ya Uingereza. Hii inaweza kutokana na mazingira wezeshi kwa wawekezaji tuliyo nayo, na si uzuzu kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha. Je kuna Mtanzania kazuiwa kuwekeza Kenya?
   
 6. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,550
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  mi ni mtz halisi na wala cpendi kuitwa zuzu hata kama nipo ktk kundi la mazuzu.

  suala la uwekezaji ni kuwepo kwa Mtaji,Soko na vigezo vingine ndio unaweza kupata fursa ya kuwekeza
  tena sehemu yoyote ile duniani.
   
 7. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa historia zetu, sisi na Kenya hatuna gap la kiuchumi kuuubwa kiasi cha sisi kuwaachia Wakenya resources zetu kiasi hiki! Ni uzuzu kwa nchi yetu kushuhudia S.Africa ikinunua Tanzanite toka Nairobi instead of direct from Arusha.
   
 8. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo Watz hatuna fursa, soko wala mtaji! Kazi ipo!
   
 9. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  hata kama hatuzuiwi kuwekeza kenya, sasa tutawekeza vp kenya wakati hapa kwetu tunashindwa? Kwa taarifa yako kenya tayari hata fursa za uwekezaji zimeshakuwa kwenye stiff competition something too big kwa Mtz kusurvive.
   
 10. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kwenye kushindwa kuwekeza, na kulalamika Wakenya wanatuvamia sana!
   
 11. chash

  chash JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sasa hivi nimepost sehemu nyingine ifuatavyo(naomba ni re post)

  Tanzania wameshindwa kujimarket. Huwezi kulaumu Kenya. In the world, the highest mountain, the biggest fresh water lake, the deepest lake, the longest coastline, the biggest parks, the most animals, the most beautiful land,great islands, several wonders of the world, great mineral resources, peaceful people, most agricultural potential , cheapest labour but most unknown nation in the world. Problem ya Tanzania wananchi wanataka kutegemea serekali kila kitu. Soma humu jamvini, serekali hiki, serekali kile, umasikini serekali, kutolima serekali kila kitu serekali. Wake up guys. Serekali sasa hivi zinaweka miundombinu tu the rest ni wananchi. Hata mashirika machache ya serekali yaliobaki wanatakiwa na new world order wayauze. The Tanzania dream is bigger than the American dream right now. There is bigger potential for a Tanzanian to be rich than there is for an American. The harvest is ready kazi ni kuvuna tu! Mkishindwa waiteni wakenya au waafrika kusini mwaka mmoja tu! mjionee. If everyone does their best the country becomes the best. Jiulize wewe umefanya nini au unachangia nini Tanzania itambulike?
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Nchi yako kuwa na investments nyingi za wageni inaweza kuwa kitu cha fahari, kwani investments zinaleta maendeleo kwa nchi.

  Labda uongeee nature ya hizo investments na taxation etc.

  Hata kama Kenya imeweka investment mabilioni Tanzania na Tanzania haijaweka thumni Kenya, hilo pekee halionyeshi nani mjanja.

  Kwani Tanzania inaweza kuwa imewekeza pengine.

  Unachotaka kusema ni nini? Kwamba kwa kuwa wakenya wamewekeza sana kwetu ndio haki yao kutudharau? Kama wangekuwa wajanja sana wasingekuwa na haja ya kuweka investment kwetu wajinga.
   
 13. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  mlete mada amekosea kusema kenya inatudharau ,kidiplomasia afute kauli hii .inadharau kwa kuwekeza ni kosa ,
   
 14. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  have my concurence, mkuu!
   
 15. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  basi muache kulalamika kuwa Wakenya wanakaba ajira za watz!
  Kama wanalipishwa kodi basi msilie na budget, miundombinu n.K
  lete data za tz kuwekeza sehemu nyingine achana na hizo "labda"
   
 16. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,655
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  acha uvivu, rudia kusoma na uelewe thread yangu!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  "Muache" unawaambia kina nani?

  Wengine hatuamini katika government protectionism getting in the way of free trade, usimlundike kila Mtanzania katika kundi moja.

  Na kusema kwamba investment from Kenya in principle does not infer superiority on the part of Kenyans does not imply that Tanzania collects taxes, which negates and moots the whole argument "basi msilie na budget". Again, usilundike kila Mtanzania kwenye kikapu kimoja bila justification.

  You obviously did not get the point kwamba hata bila ya kuwa na data za Tanzania kuwekeza nchi nyingine, fact kwamba Kenya inawekeza Tanzania haiipi superiority Kenya, as a matter of fact Tanzanians in principle could claim to benefit from the investments.

  Jaribu tena kuargue your case more convincingly, with data.

  Then labda utajenga uhalali wa kutaka mtu kukujibu kwa data.

  Hatutaki simplistic arguments. Watu wakiwekeza kwako hiyo ni disadvantage kivipi?

  Are you failing to articulate what you really want to say?
   
 18. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,340
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  wanatuzarau = wanatudharau
   
 19. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wa mbili havai moja. Kusema la kweli uchumi wa kenya ni mkubwa na unaiacha tanzania kwa mbali kidogo.
   
 20. chash

  chash JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu, Weka data za kutuonyesha umbali kiasi gani kwa sababu mimi sioni tafauti kubwa ya maendeleo ya Kenya na Tanzania.
   
Loading...