Vijana tunaota uku tunatembea mchana kweupe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana tunaota uku tunatembea mchana kweupe!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by magombe junior, Sep 28, 2012.

 1. magombe junior

  magombe junior JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 1,604
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Imekua ni fasion siku hizi kwa kila kijana ambae anaamini katika cdm na sera zake(ingawa wengine hata hawazijui) kujadili kuhusu the coming election of 2015 kama vile its tomorrow!,Kama kuna mtu alipoteza fahamu kwa mda mrefu akizinduka leo akasoma na kusikiliza mazungumzo ya vijana atajua ni 2014 tena tunamalizia mwaka!,Wito wangu kwa vijana tujitume kufanya kaz(either umeajiriwa au umejiajiri mwenyewe) kwani sisi ndio nguvu kazi wa taifa hili na tuache kukeshea siasa kama vile maisha yamesimama na tunasubiri 2015 ili tu-resume. kwa roho safi nawasilisha!
   
 2. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  you why? watu wamepoteza matumaini kabisa wa kupata mafanikio chini ya huu mfumo kandamizi.ukiwa wewe ni mtoto wa masikini ni kazi kwelikweli kupata kazi.mtaji au hata nafasi ya kusoma zaidi ili ujiongezee chances za kuwa mshindani katika soko la ajira. The only hope ni mabadiliko katika mfumo na ndio maana vijana wengi wamewekeza matumaini yao na chochote walicho nacho kwa CDM
   
 3. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Tutumie kiswahili sanifu, maana Jamiiforums ni mtandao unaotambulikana kitaifa na kimataifa '' uku tunatembea...,cdm, mda, fasion, tu-resume n.k
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mleta mada alikuwa na ujumbe mzuri,ila uwasilishaji ndiyo umemshinda
   
Loading...