Magazetini leo: Sept 28, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazetini leo: Sept 28, 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, Sep 28, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mtu ambaye nimeshakinaishwa na Tamthiliya za huyu Zitto Kabwe na ndio maana nilikuwa nasubili kwa hamu nione coverage ya magazeti ya leo yatakuwaje, kama ilivyo kawaida na desturi ni Gazeti la Mwananchi pekee ndilo lililoipa coverage habari hii ambayo source yake eti ni Mirald Ayo.

  My take: Ukiona habari yoyote ya kuibobomoa Chadema, haijapewa kipaumbele na magazeti ya Uhuru, Mtanzania na Habari leo basi ujuwe ni Gazeti la Mwananchi pekee ambalo Zitto Kabwe ni sehemu ya wahariri wake tayari wanakuwa wameshaandaa story yao ili kuwapumbaza watu.

  Bado sijamsahau Zitto huyu huyu aliyetangaza kutogombea Ubunge mwaka 2010 na baadaye akaibuka kutangaza kugombea ubunge kwenye majimbo 5 tofauti, huyo ndio Zitto Kabwe.


  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG] .
  [​IMG]
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  :rockon:Agombee! Hasigombee! ni uamuzi wake yeye mwenyewe,,sisi tunaendelea na M4C yetu..2015 lazima kieleweke piga ua garagaza.:yo:

  CDM alikikuta na atakiacha kikiwa madarakani:frusty:
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Asante kwa magazeti mkuu,
  nimeona hii ya mitihani ya form four na six,
  ngoja niitafute.
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  binaadamu akianza kuchoka au kuzeeka au hata kufa huwa ana mikogo sana.
   
 5. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha mapema, hiyo ni sera ya CCM, Mh Zitto kafanya jambo zuri kutangaza nia mapema, Ni wajibu wetu sasa kumpima. Namuunga mkono Mh Zitto na yeyote ndani ya CDM anayetaka kuwania nafasi ya Urais wajitokeze sasa hivi tuanze kuwapima, kabla ya kuwanadi. Hakuna haja ya CDM kucheza ngoma ya CCM.
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Mnamshobokea sana Sisimizi Zitto
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Rais wetu ni Lowasa.
   
 8. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Rais wenu, wewe na nani?
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Mimi na vitegemezi wangu.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Matola bana....huyu Lowassa tunayemfahamu au Lowasa yupi huyo!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sioni tatizo kutoa kauli za kisiasa kama hizi. Hata mwaka 2010 alisema the same thing na hakutekeleza.
  Hizi ni siasa tu.

  Japo hii one man show is becoming boring sasa.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Unajuwa kuna vitu vinakera na vinabore sana, Chadema bado haiko serious kukabidhiwa Serikali ndio maana wanaentertain ujinga mpaka leo.

  Hivi kati ya Zitto Kabwe na Hamad Rashid ni nani mwanasiasa mkongwe? kwa nini CUF wamemfuta uanachama? na ni kwa nini mtu dhaifu kama Mbatia amemkata kabisa kilimilimi Kafurila mapema kabla ya kukiaharibu kabisa chama cha NCCR? who is Zitto?
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade: "one day things will be open!!" teh teeeh teeeeh
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,739
  Trophy Points: 280
  Muombeeni afya kwanza huyo fisadi papa wenu vinginevyo 2015 ni mbali sana.
   
 15. T

  Tayseer JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama umechoka kuona habari zake hama nchi, lakini ukiwa Tanzania utasikia tuu kuhusu kijana toka 6503 he he he bado mtaumwa sana tumbo juu yake na hasa vibaraka wa watu fulani

  chadema haiwezi kuongozwa na hisia za watu wachache kama mnachuki zenu chadema kama cha wanajua haki ya msingi ya kila mwanachama wao hivyo siyo sehemu ya kufukuzana wanajua kijana wao ana weza then wa mfukuze kwenda wapi?

  Jambo la muhimu ni kwamba tumetoa nafasi kwa kila anaye weza kugombea uwongozi kutangaza mapema ili kuweza kupima uwezo wake, chadema hatuwezi ishi kwa kuogopa kivuli, hivyo pongezi kwa uwongozi makini wa chadema kuonyesha umepevuka na mambo ya kusikia hisia za watu.

  Zkk hawezi fukuzwa angefukuzwa kwanza Shibuba ambaye anatukana chama kila siku, but still yupo na hakuna hatua yoyote anachukuliwa, walikuwepo kina Chachawangwe marehemu nao pia walikuwa wanasikilizwa kila wasemalo ukianzishwa kurisha mawe usiogope kamwe kupigwa na jiwe so chama cha demokrasia kina msingi mpana kuonyesha upevu wake.

  wenye chuki na zkk mtachoka tuu lakini mimi naona ni jambo la msingi kupima uwezo wa chombo kabla ya kwenda bahari kuu.

  Hamad Rashid ni mkongwe na Nccr ni wao sisi chadema hatuwezi kuishi kwa kuigawengine wao ni wao na sisi ni sisi
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Tayseer hebu futa hiyo mipovu mdomoni kwanza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...