Hili la Warangi na nyoka limenistua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Warangi na nyoka limenistua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by O-man, Sep 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Maneno: "Ukiwa porini na kwa bahati ukakutana na Mrangi na nyoka, ni bora umuue Mrangi na nyoka umpotezee". Mantik ikoje hapa.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  ndo kwanza nalisikia kwako!!
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ni warangi au Wameru? Nilisikiaga hao
   
 4. m

  massai JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni wapare,nasikia.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa nini umuue mtu umwache nyoka......?
   
 6. s

  siafu New Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iwaje nyoka awe bora kuliko binadamu mwenzako
   
 7. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  inasemekana lakini cjui kama imethibitishwa ya kwamba
  hao warangi wanaroho mbaya sana na wachawi ile mbaya#
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Nadhani tumemaliza dini sasa tumeingia rasami kwenye makabila............ media zikitumiwa vibaya zinaweza kuwa chanzo kikubwa na uadui uliokithiri

  I think this goes to the extreme
   
 9. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  mademu wa kirangi wazuriii ila tatizo sasa,hawajui kukataaaaaaa,unaweza kugonga familia nzima hadi bi mdanga aaf fresh tu
   
 10. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Kama ulikaa Kondoa lazima utatoka na data hizi maana huko kila ukizunguuka asilimia kubwa utaokutana nao ni warangi vivyo hivyo ukiwa Ngudu, Kwimba wananchi wengi ni wasukuma hivyo nako utatoka na findings kama hizo za mademu wa kirangi, sasa ukiwa nje ya hapo uta justify vipi wakati hao warangi wenyewe ni wa kuhesabu?
   
 11. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  jamani warangi kwa kuonewa tu humu jf sasa imekuwa too much!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...