Tusibaki kuraumu we ukipewa nchi utafanya nini..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusibaki kuraumu we ukipewa nchi utafanya nini..?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inno laka, Sep 28, 2012.

 1. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,588
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Mimi binafsi kama nitapewa nch hii cha kwanza nitaongeza mishahara kwa askar polisi kwa sabbu wanafanya kaz ngumu na pia kaz zao ni riski...,alaf pia nitaboresha miundo mbinu na nitahakikisha watu wote wanakuwa sawa..,.,mwalm na pia nitamfikiria maana maisha yao yanatisha.,.
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,263
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 280
  Mimi nafungua akaunti zangu na wanangu Uswisi. Mtajibeba wenyewe.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Mkuu utakuwa ulisoma Yusuph Makamba Sec School tu. Haya maelzo yako yamekaa ki shule ya kata kabisaaaaa!
   
 4. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,588
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  unajua kwa tanzania elimu ipo kwenye chet tu hata kama ni shule ya kata
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,323
  Likes Received: 6,166
  Trophy Points: 280
  Utafikiri ulikuwa akilini mwangu. Kaanza na kukikosea heshima kiswahili (KURAUMU) na kuendelea na pumba zake. Sidhani kama amemaliza kidato cha 4 tayari, hii ni performance ya form 2
   
 6. G

  Ginner JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,116
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  hahaha tusiendelee kuRaumu
   
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,323
  Likes Received: 6,166
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unajivunia utumbo kwa kuwa una karatasi limeandikwa UMEHITIMU?

  Kwa hali hii nakuunga mkono kuwa 'walm maisha yao yanatisha'
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,510
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Always far looks green!
   
 9. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,588
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  au tubadilishe lugha..!
   
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,323
  Likes Received: 6,166
  Trophy Points: 280
  Kimekushinda kiswahili kinachoongelewa huko pugu unakoishi utaweza kihispaniola.

  Lugha haibadili hadhi ya ubongo wako.
   
 11. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,516
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wewe zuzu mtu hawezi kupewa nchi, bali atagombea kuomba uongozi atachaguliwa, wakati huo ametoa ilani yake inayoonyesha kuwa akipewa ridhaa ya kutawala atafawafanyia nini Watz. Huwezi kupewa nchi hovyo hovyo tu from no where.
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kichwa cha habari kinabeba dhana nzima
  ukishakosea kuandika lugha sanifu hata mada inakosa uhalisia.
  kuraumu ndio lugha ya wapi?
  sidhani kama unaweza kuwalaumu waliosema umesoma shule ya kata.
   
 13. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,116
  Likes Received: 482
  Trophy Points: 180
  Nitaufyeka msitu wa mabwepande,
   
 14. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu usijaribu kufanya hilo, manake ndo watu watajua u.p.u.m.b.a.vu wako
   
 15. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,658
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  we kabila gani mjomba,KURAUMU??,ukikosea hata spelling tu sisi tunajua tu wewe si great thinker na hatuchangii thread yako,tukuweke wapi,chagua mwenyewe!!!,au omba msamaha na edit post yako tukusamehe
   
 16. themagainst

  themagainst Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nitakuwa nacheka tu na kutabasamu
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,630
  Likes Received: 2,437
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli:tea::tea:
   
 18. Juniour K

  Juniour K Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo r r r,mzee zinanitisha,hauna mapanga hapo.
   
 19. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,559
  Likes Received: 1,285
  Trophy Points: 280
  Ingawa itakuwa ni vigumu lkn ntajitahidi nivunje rekodi ya jk kusafiri
   
 20. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Nitawafukuza kaz police wt walioua wa2 arusha na iringa na wanaolinda 'wakubwa' na kuonea wananch.
   
Loading...