Ardhi yenye Gold kuuzwa 392mill Huko Siza_Mbeya

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Kampuni ya kizungu huko mjini Mbeya,imesaini mkataba na kijiji kiitwacho Siza kwa 392 mill,kwa ajili yakumiliki sehemu ya ardhi yenye dhahabu.Mkataba huo unatarajiwa kuisha 2020.

source;Star TV tuongee asubuhi, leo

Wanajamii forum hebu tuone viongozi wetu wanapotupeleka,alikuwepo mbunge wao Mh Philipo Mulugo,tena akifurahia.
Wizara ya Madini tunaomba Muende mkaliangalie hili!

Mnatumaliza watanzania.
 
Back
Top Bottom