Redio imani - elimu bila mipaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redio imani - elimu bila mipaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pepombili, Sep 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asalaam Alekum

  Ndugu wana jamii nimekuwa msikilizaji wa Redio imani karibu kwa muda wa miezi 6 sasa mfululizo bila ya kubadilisha kwa kweli nimejifunza mengi mno na nimekuja kugundua baada ya utafiti mdogo nilioufanya nimegundua karibu asilimia 50 ya watanzania mpaka 70 wanasikiliza hii redio yenye habari za ukweli ambazo kama hukuzisikia hapo tia shaka, na ni elimu bila ya mipaka kweli maana yanayoongelewa mule ni ukweli mtupi wabilahi taifik bawatakia kila la kheri redio imani na uongozi mzima wa islamic foundation kwa juhudi zao za kueleimisha umma Mwenyezi mungu awalinde na husda za mahasidi ( waminsharii hasidin idhaa hasad)
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mko topic gani kwenye chemistry?
   
 3. chuma cha reli

  chuma cha reli JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 1,794
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  kunya anye bata akinya kuku....torelence.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sawa.....tutaskiza......
   
 5. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mashaallah naona munazidi kudhihirisha chuki zilizo kwenye vifua vyenu na bado mutatoka mapovu sana tu REDIO IMANI inayeya Elimu bila mipaka
   
 6. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Elimu bila mipaka
   
 7. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Redio Imani Elimu Bila Mipaka
   
 8. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  elimu bila mipaka
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Elimu ipi? Hii ya dunia hata wewe unaamini imewashinda....
   
 11. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,337
  Likes Received: 8,452
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red mkuu sio Elimu ni Ilimu.:A S 41:
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Haya tumekuskia...

  Umejiandaaje na mtihani wa kidato cha nne mwezi ujao...?
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Bahati mbaya sijawahi kuisikiliza wala si muda wa kuchezea.
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sikiliza bana........unakosa elimu ujue.........
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Preta tatizo muda bana....

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri majibu ya mitihani ya darasa la saba kwanza!...tokea mitihani ilipofanyika mpaka leo majibu hayajatoka! katika karne hii?!...au Ndalichako na genge lake ndio wako busy kushughulikia majibu ya Shule za kina Pengo "kutesa"?!
  ...yana mwisho haya.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Preta tatizo muda bana....

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  Wako topic ya Rules of laboratory.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 19. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimejiandaa kuchinjwa na NECTA maana yale ndio machinjio ya waisilamu
   
 20. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole bado uko gizani
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...