Jimbo la Olesendeka Njaa yashamiri na chakula cha msaada hawajapata zaidi ya mwaka

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ni hari ya ukame na njaa katika kata ya Oljoro iliyopelekea wananchi kushindwa kujishughurisha na shughuri zingine za kiuchumi na imepelekea mbubge wa Simanjiro kifika na kutoa ahadi yenye uwalakini kwani kasema kuwa amewasikia na atalifikisha katika ngazi husika hasa katika wizara ya waziri mkuu kitengo cha maafa ili kuangalia kama kuna chochote cha kuwanusuru wananch hao na njaa kali.

Jiulize ingekuwa wakati wa kampeni ingengojea hekima ya kamati ya maafa ya waziri mkuu?
 
Sijui kama wananchi wa simanjiro wataendelea kufanya makosa ya kimazoea mwaka 2015!
 
Back
Top Bottom