Koffi Annan and Melinda Gates Impressed by "Kilimo Kwanza" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Koffi Annan and Melinda Gates Impressed by "Kilimo Kwanza"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by XIII, Sep 28, 2012.

 1. X

  XIII Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The Chairperson of the African Green Revolution Alliance, Dr Koffi Annan and Mrs Melinda Gates, who is the Co-chairperson of Bill and Melinda Gates Foundation, have both been impressed by Tanzania's 'Kilimo-Kwanza' initiative.


  The two dignitaries expressed their approval during the opening session of the on-going African Green Revolution Forum which is in progress here. "I have learned that the concept means 'Agriculture First,' indicating that the country places farming at the top of its list of priorities," said Mrs Gates....Read MORE »
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Impressed kwa taarifa za kuletewa ngurdoto hotel?angefanya utafiti kujua kama mwananchi wa chini anapata nafuu yoyote ya kilimo kwanza.Hakuna evaluation iliyotolewa na govt juu ya mazao tangu kilimo kwanza ianze
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  Haya, watu wenye pesa zao na wenye skili wamesema, akisema Pinda ooh! Watu maneno.
  Kuwa na Hela ya madafu isiwe hoja.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wapendwa hivi kilimo kwanza ilianza lini!? na je since then what difference has it made so far!, binafsi sijaona matokeo yoyote zaidi ya kuona mawakala wa pembejeo wakipiga pesa ile mbaya! au bado mapema for an evaluation!?
   
 5. X

  XIII Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwel kabisa...
  tumekuwa tukiridhika na taarifa za mikutano bila kwenda kujionea wenyewe kinachojiri mashambani!
   
 6. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Bullchiiiiit.:frusty: Tunapelekwa Kama misukule. Kilimo kwanza my foot,hao walengwa bado wanalima na Jembe la mkono,halafu pembejeo zinageuzwa deal. Tanzania inabidi IFE kwanza ili IZALIWE UPYA.
   
 7. Inqusitor

  Inqusitor Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nafikiri Melinda alikua anatucheka tu,kwa sababu hakuna kilimo chochote cha kunufaisha Tanzania kinachoendelea.Si kilimo kwanza wala kilimo mbili.Na Baadhi ya watanzania wenye uwezo wa kulima tu wavivu hivyo wageni ndio wanaolima katika mashamba yetu na kutuuzia chakula kwa bei watakayo...Inauma sana.
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza ngurdoto?
  Kilimo cha kwenye maandishi ni rahisi sana kumvutia mtu yoyote.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  walete tu hayo mabilioni yao watu tule............
   
 10. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Melinda yuko kwenye kilimo bongo kitambo na koffi anachair aggra kwa muda, wanaelewa nini wanasema, na investment iliyofanyika southern highland inamatokeo mazuri jamani.
  Hii haikuzuii wewe muhafidhina usiendelee na imani yako, kuna tractor nyingi sana shamba kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii.
   
 11. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Let the agricultural output figures speak for themselves otherwise it is just empty talk to impress foreigners.Why do we put so much efforts in impressing some foreigners yet we know that there is nothing in the real ground to even talk about.Kilimo kwanza yet basic food prices keep on increasing at a speed that would surely impress even Usain Bolt...
   
 12. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  THEIR APPROVAL... Programs za Bongo ktk maandishi hazina taabu sana, maana nadhani it is the only skill we are left with-kuandika michakato ya miradi! Utekelezaji ndio HATUNAO KABISAA!

  Majuzi nimeona matrekta pale SUMA mwenge yamekwisha nikadhani yamenunuliwa yote; kumbe Kima wameyahamishia ktk zones zao-kuyajaza sho roon za huko na kuonesha HQ mauzo yako vizuri kwa kuwa showroom ya hapa iko empty!

  Kama hatubadiliki wenyewe wananchi hawa tuliowapa madaraka kuna siku watatwambia tushike kuta nchi nzima!
   
Loading...