Professor Muhongo tueleze kuhusu hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Professor Muhongo tueleze kuhusu hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Juniour K, Sep 28, 2012.

 1. Juniour K

  Juniour K Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Since asubuhi maeneo ya kinondoni umeme unakatika na kurudi,hatuelewi nini kinaendelea,kama ni ufundi mnaousema,huu ufundi wa namna gani wa kutaka kuchoma vifaa vya wananchi,umeme unakatika hata usiku wa manane,huo ufundi unafanywa hadi usiku wa manane?wana jf mnisaidie kumweleza huyu prof badala ya muhongo ataitwa muongo.

  Prof nakupa angalizo ahadi ulizokuwa unatoa,ulikuwa huzitoi kwa viziwi wala vipofu,take care prof.hadi naipeleka hii thread hewani niko kwenye kiza.
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Inakuaje eneo moja linakuwa na matengenezo kila baada ya siku tatu
   
 3. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Polee! Juwa tu umeme wa nchi hii unadhibitiwa na Mafisadi
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  mgao umeanza rasmi,hawataki tuu kusema
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,750
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Eti Rais wetu 2015
   
 6. K

  Kasana JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hadi sasa umeme haujarudi, nawafikiria ssamaki wangu kwenye fridge sijui kama kesho watakua salama, Toeni ratiba ya mgao kieleweke
   
 7. Juniour K

  Juniour K Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mzee unajua wasitufanye sisi majuha inakuwaje eneo lifanyiwe matengenezo kila Baada ya Siku kadhaa,umeme unapozima zaidi ya masaa sita na kuendelea,Huo ni mgao,anyway tusubiri hizo weeks za matengenezo zikiisha hali itakuwa Vp.
   
 8. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,220
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Sasa nimeamini kuwa mafisadi wapo kazini!
   
 9. Juniour K

  Juniour K Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wataendelea kuwa kazini mpaka watu wapigane kidogo,risasi zirindime ndio kieleweke.
   
 10. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,520
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Huku kwetu, maeneo ya Mbezi Beach, kila siku iendayo kwa Mungu lazima umeme ukatike zaidi ya masaa 4. Ukiendela kukatika nitachukua hatua.....
   
Loading...