Stendi ya dodoma iko wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stendi ya dodoma iko wapi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wakwe2, Oct 10, 2012.

 1. W

  Wakwe2 Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inasikitisha kuona mji mkuu wa tanzania hauna stendi kila pakikucha leo hapa kesho pale ni kero kubwa kwa wasafiri na wageni hususani wanaoingia mji huu mkuu wa tanzania lazima uwe na pesa ya tax je ni kuwatendea haki watanzania naombeni mawazo wadau
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwani ile ya pale karibia na bunge imehamishwa tena?

  Dodoma kweli hawana stendi. wanazidiwa na Tabora.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nimepita week end iliyopita naona wameihamishia viwanja vya nanennane..kama manispaa watakuwa serious pale ni pazuri wakijenga permanent stand maana ni eneo kubwa
   
Loading...