Wakenya ndani ya pccb na usalama wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya ndani ya pccb na usalama wa taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Infantry Soldier, Oct 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida na hatarishi kwa usalama na utendaji kazi wa taifa letu kumekuwapo na influx kubwa ya raia wa nchi jirani kama wafanyakazi katika moja ya taasisi nyeti na kubwa katika utendaji wa serikali ya jamuhuri ya muungano.

  Pamoja na malalamiko yaliyoweza kuwasilishwa kwa vyombo husika vya usalama hatujaona hatua yoyote mathubuti ilochokuliwa mpaka sasa kwa kuwa raia hao wa kigeni bado tunao mpaka wakati huu katika ofisi zetu za serikali na wengi wao wamekuwa wakijitambulisha kwa ukabila wa maeneo yanayopakana na nchi zao.

  Najua watu usalama mpo humu naomba mfuatilie hili suala. Asanteni sana.

  ********
  UPDATE: Serikali inachukua hatua? - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/335327-wafanyakazi-wageni-vihiyo-wasakwa.html
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  wakenya au watu wa musoma? kwa mkuu
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  walishapenya siku nyingi,ccm hawawezi kuwatoa kwa sababu hawaoni hilo
   
 4. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,378
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Ziwa letu kweli lita salimika!Wamalawi hawapo uko mkuu???
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  aisee sitaki kuamini kua kuna wakenya kwenye hizo idara nyeti za serikali
   
 6. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siwezi kupinga hili kwani huwa najiuliza Yule m-Kenya (feki) aliyeusishwa na Dr. Uli alipatikana vipi au ana uhusiano gani na watawala wetu!?.
   
 7. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe Mjini ulikuja lini?.....Kuna ukweli mkubwa sana kwenye hii thread. Habari ndio hiyo.
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Nilishangaa juzi mtu ananiletea Housegirl toka Malawi kwa elfu sabini!! Kweli tumefikia hatua ya ku-import housegirls????
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na inasemekana idadi kubwa ya vitambulisho vya utaifa vimetolewa kwa wageni (wakenya, waganda, wanyaruanda) na wazalendo si wengi...Hapoo sasa...............!:embarassed2:
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,302
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu inaonekana wazi uko ktk nafasi nzuri ungerahisisha kwa kuwataja majina ili ukweli uweze kujulina kwa haraka. Twakungoja uje na ufumbuzi kwa majina ili mambo yawe njema.
   
 11. peri

  peri JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  vitambulisho vya taifa gani?
  Vya tz havijatolewa au unaongea ili kuchangamsha jukwaa?
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Makosa yalifanyika kipindi cha Nyuma,Kwa uongozi JK,sina uhakika kama kuna damu ya Kigeni kwenye Taasisi hzo Nyeti...
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  I mean Waliojiandikisha!!...........!
  Pia kuchangamsha jukwaaa siyo mbaya....!!
   
 14. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Mnashangaa wakenya kuwa katika idara nyeti? Wako mpaka watutsi. Na hao wabunge wahindi wanaojifanya ni watanzania hamuwaoni? Serikali ya kwanza ya Tanganyika baada ya kupata uhuru ilikuwa na waziri wa kidosi, kwa jina la Amir Jamal, hili hamkuliona mnashangaa haya ya jirani zetu wakenya?
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  kwa sasa mshauri mkuuwa rais juu ya ziwa hilo ni mnyasa, ni bwana APSON MWANGONDA aliyekuwa UWT chief....................... The drama goes on.
   
 16. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  :doh:...hedex please?
   
 17. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaaz kwelkwel!
   
 18. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hahahahha...mmesahau yule mkenya aliyemuua ouko aliwahi kuwa kiongozi wa TFF(FAT)?
   
 19. f

  filonos JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  ukitaka ikweli wa wageni hata NYERERE hakua raia kamili wa TZ..GR ..ULIMWENGU na wengi tu na ukienda MBEYA utakuta wengi tu cha muhim je ANAWAJIBIKA VIPI??katika kazi zake??HATA OBAMA kule AMERICA sio raia hizoakili hazitajenga inchi yetu bila wageni hakuna mabadiliko ya maisha DUNIANI KOTO ...kama hakuna madhala haina shida
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  labor migration. hata wewe kama una sifa nenda kwao ukaombe kazi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...