Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Mara ya kwanza nilimsikia Sofia Simba akiimba hili tangazo ya Dunia yako.....nikaona huyu kwa hulka yake, linamfaa
Baadae nikamsikia Kingwendu....nikajua tangazo limekaa kisanii so nalo nikachukulia poa...
He! Ghafla namsikia M.KWERE nae anaimba Dunia yako, chaguo lako...Nikasikitika mara 1000.
Hili tangazo lina umuhimu gani? Mi naona ni ****** tu. Eti mtu anakwambia chagua kuwa msanii!! Sasa kama sina kipaji je?
Clouds, kwenye hili tangazo mmechemka!!!!