Tunaweza kumsaidia vipi Daktari huyu ili na yeye atusaidie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaweza kumsaidia vipi Daktari huyu ili na yeye atusaidie?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 9, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [h=3]Texas Heart Children’s Hospital Yaisaidia Vifaa Vya Tiba Ya Moyo Ya Dr.Ferdinad Masau Heart Institute[/h]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"] LEE EVEY MTAALAMU WA MAGONJWA YA MOJA KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL AKIMUONESHA DR. FERDINAND MASAU, MOJA YA KIFAA CHA KUTIBIA MAGONJWA. TAASISI HIYO YA TEXAS IMETOA MSAADA WA VIFAA KADHAA VYA TIBA YA MOYO KWA TAASISI MPYA YA MOYO ITAKAYO JULIKANA KAMA DR. FERDINAND MASAU HEART INSTITUTE INAJENGWA ENEO LA MBWENI MPIJI, DAR ES SALAAM.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [​IMG]
  MTAALAMU WA TIBA YA MOYO DR. FERDINARD MASAU AKIWAONESHA WATALAMU WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL JENGO JIPYA LA TAASISI YA DR FERDINAD MASAU HEART INSTITUTE LINALOENDELEA KUJENGWA MBWENI JIJINI DAR ES SALAAM, AWAMU YA KWANZA YA UJENZI ITAKAMILIKA MAPEMA MWAKANI
   
 2. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good news,
  mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka
  sasa hivi waliomuonea gere....vijasho vina watoka....chezea masau wewe
  kaza buti doc.
   
 3. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,597
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Hii ni habari nzuri kwakweli hasa sisi kina fulani tusio na uwezo wa kwenda India, tunamuombea uzima na afya njema Mungu amjalie atimize alilokusudia, wengine tunamsapoti kwa maombi.
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Keshatibu Watanzania wangapi wakapona?

  Atoe takwimu za wagonjwa wote aliowatibu ambao wamepona na ambao hawakupona tokea aanze shughuli zake Tanzania.

  Hakuna cha uzalendo mbele ya kifo.

  Watanzania wengi wenye matatizo ya moyo wanamkacha na kuamua bora kwenda India kwa matibabu.

  Anaoenkana ni kuwadi wa vyuo vikuu vya Marekani anafanya Watanzania wenye magonjwa ya moyo kuwa guinea pigs.
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tumshauri Mjengwa aendeshe Harambee ya kuchangia
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kuanzisha na kuendesha heart hospital in solo style haijawahi kutokea duniani. Daktari atafute wenzake washirikiane.Ile ya kwanza ilikuwa Tanzania Heart Institute, hii kaipa jina lake kabisa, lakini katika zote haonekani kushirikisha wenzake.
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Massau ameponzwa na usafi wake. Baada ya wakuu wa serikali kugundua kuwa mradi wake hauna ten percent na ungesababisha kamisheni wanayopata toka Apollo India kuyeyuka wameamua kumwekea ngumu. Haya ni matokeo ya kuwa na watawala wasioona mbele wala kujua waendako zaidi ya kutumia masaburi kufikiri badala ya vichwa. Mungu yupo atafanikiwa. Kuna haja ya kuitisha harambee za kusaidia ujenzi wa kituo hiki muhimu ambacho si muhimu kwa Tanzania tu bali ukanda mzima. Huyu angekuwa Kenya au Rwanda asingekuwa anahangaika kama anavyofanya.
   
 8. Gaston Mbilinyi

  Gaston Mbilinyi JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Amesema anahitaji msaada wetu ili atusaidie? Naona anaandaa mazingira ya kufanya biashara yake na watu wa Tz na wasio wa Tz. Hilo la msaada limetoka wapi?
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Jamani JF mbona mko hivi? Mwizi mkamateni lakini sifa yake mpeni. Wazo la heart institute ni lake hivyo kama hataki kushirikisha mtu sioni tatizo. Kwaini alipokuwa na lile tatizo na NSSF hao uanaotaka awashirikishe walimsaidia? He needs to be applauded greatly.>
   
 10. N

  Nguto JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Anastahili kusaidiwa kwa kweli. Kazi anayofanya ni nzuri na itaokoa fedha nyingi za kigeni.UOTE]
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,650
  Trophy Points: 280
  Wagonjwa wengi wa Moyo wanapelekwa india na serikali na taasisi nyingine za kujitolea,kwanini Serikali na taasisi hizo zisichangie huduma hii ili tusipeleke wagonjwa nje?

  Kwanini Dr Masau pamoja na juhudi zake lakini no body care utafikiri anafungua bar tu?
   
 12. s

  sanjo JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo umenena. Huwa nakerwa sana na utamaduni mbovu tulioujenga Watanzania wa kuchangia arusi badala ya shule na huduma kama za kina Dr. Musau. Kwa nini tuendelee kuchangia ulaji (consumption) badala ya kuchangia uwekezaji (investment)? Hakuna utamaduni wa ovyo kama huu.

  Mzee Mwanakijij,i kibarua chetu ni kubadilisha utamaduni huu ambao unaenea kwa kasi huku watu wakizidi kuulalamikia tu lakini bila kuchukua hatua madhubuti za kuubadilisha.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Unataka ushahidi kutoka kwa wengine., wakati wewe unathrow accusations ambazo ni serious na bila ushahidi! Umetumwa wewe? Unawajua wamarekani? With the investments zilizokuwa pale unadhani wangeshindwa kuilipa deni na kuendelea na shughuli zao?Una takwimu za muhimbili na india?
  [/QUOTE]
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  On a very serious note, kweli serikali inakaa pembeni na kuacha hospitali kama thi kufungwa kwa sababu ya deni la kodi? Bila kuingilia kati? And the hospital was reasonable kiasi cha watu wengi kumudu gharama kwa kiasi. Angekuwa ana backup wala asingeshindwa kulipa makodi hayo. Well he had a genuine complain ya kutokulipa kodi which i cant mention, lakini in the end ziumiazo ni nyasi.
   
 15. alberaps

  alberaps JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Huo Ni wivu wivu wivu wivuuuu
   
 16. N

  Nguto JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  King'asti hii mada nilikosea nilipokuwa naijibu nikadelete jina la aliyeposti ndio maana inaonekana kama mimi ndio nimeiweka. Maneno ya mwanzo ambayo hukuyaweka ndio yangu. Post hii ya Mer Dritt sio yangu. Mbona Dr mi namkubali!!
  [/QUOTE]
   
 17. L

  LEAD Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona jamaa kashasaidia watu wengi sana tu enzi za Tanzania Heart Institute, tusipende kukatisha tamaa vya kwetu na kukuza vya nje.
   
 18. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  well said baba yao yaani very well said!
   
 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mzee mwanakijiji hii habari na picha umecopy kutoka blog ya Issa michuzi! kucopy sio kosa kama ungeweka source ya habari.

  [h=2]What is Plagiarism?[/h]
  • to steal and pass off (the ideas or words of another) as one's own
  • to use (another's production) without crediting the source
  • to commit literary theft
  • to present as new and original an idea or product derived from an existing source.
  In other words, plagiarism is an act of fraud. It involves both stealing someone else's work and lying about it afterward.
   
 20. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mzee mwanakijiji hii habari na picha umecopy kutoka blog ya Issa michuzi! kucopy sio kosa kama ungeweka source ya habari.

  What is Plagiarism?


  • to steal and pass off (the ideas or words of another) as one's own
  • to use (another's production) without crediting the source
  • to commit literary theft
  • to present as new and original an idea or product derived from an existing source.

  In other words, plagiarism is an act of fraud. It involves both stealing someone else's work and lying about it afterward.
   
Loading...