Dar es Salaam, Tanzania In a move to alleviate water scarcity in Dar es Salaam, the Indian government has given a $178m loan to Tanzania for the implementation of water projects.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es
Salaam jana, Sumaye pia alikana kukutana na
viongozi wa Chadema kujadili hatima yake ya
kisiasa baada ya uchaguzi huo... Kama ningekuwa
nimekutana na...
Ndugu zangu,
Ni harambee iliyoratibiwa na mtandao wa Mjengwablog. Imehitimishwa jana Oktoba 30 kama ilivyopangwa. Imefanikiwa. Jioni ya leo nitaweka mtandaoni ( Mjengwablog.com)jumla...
Thomas Edison ndiye alivumbua balbu za umeme tunazotumia leo. Lakini kabla hajafikia hayo mafanikio ya kuifanya balbu itoe mwanga, alifanya majaribio zaidi ya 2000 (elfu mbili). Siku moja...
leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo...
Handeni hakuna TTCL broadband wala minara ya simu si ya 3G na hii ni kero kubwa. Tunaomba angalau makampuni ya simu yatuwekee huduma hii.Kigoda tusaidie jambo hili
Ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi-CCM. Nimesoma naye Sekondari ya Upili. Tulikuwa tukizungumzia siasa za Tanzania kujua tulipo na tunakoelekea. Mjumbe huyu wa CC anasema kuwa kauli za...
Tunapongeza kipindi hiki cha asubuhi kwani kimesheeni habari nzuri na motomoto lakini tatizo ni baadhi ya wageni mnaowaita hapo kweli wanatuharibia hata hamu ya kuendelea kutazama wanakuja na...
wakuu wote wa chama na serikali kwanza poleni na majukumu,staki kuwachosha kwa maneno mengi,ebu jaribuni kuangalia nguzo za TANESCO na TTCL utaona kakibao kameandikwa''MGANGA WA JADI...
Vichwa vya habari vya Magazeti.
majira>sina ubaya na lowasa.
Habari leo>Sumaye alia na rushwa.
Mtanzania Daima>amgwaya lowasa
Uhuru>Atema cheche
Nipashe>aivua nguo CCM
Mwananchi>Sumaye...
mnamo mwezi august zaid ya post 200 zilitangazwa katika chuo kikuu cha dodoma ambapo mpaka sasa kimya. Au usaili tayar umeshafanyika? Jaman give us feedback
Wakuu,TBC ni channel ya Umma(Shirika la Umma)bt najaribu kukompea programme zake haidizevu kuitwa Channel ya Umma.Star,bg up hasa hiki kipindi cha BBC News kuanzia saa3 usku kwa lugha ya...
As Facebook announced that it hit the 1 billion users mark last week, becoming the worlds third largest country, penetration remains relatively low in East Africa and much of the rest of...
Mwaka huu nilitaka nijiunge na JWTZ lakini nimeahirisha nasubiri mpaka sakata la kugombea ziwa Nyasa liishe ndo ntajiunga. Isije kuwa unaingia tu unapitiliza.
Uchunguzi umeanza nchini Afrika Kusini
kuhusu marekibisho yanayofanywa kwenye
nyumba ya binafsi ya Rais Jacob Zuma, ujenzi
utaogharimiwa na serikali. Tangazo limetolewa na ofisi ya mhifadhi wa...
Kanisa jipya atakalozikwa rasmi,baada ya mwili wake kuhamishwa katika kaburi la muda lililopo kanisa la Kashozi.
Maziko yataanza saa kumi jioni na yatahudhuliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
JF...
wanaJF msaada wenu wa mawazo unahitajika.kijana mmoja anafanya kibarua kampuni x .Amekabidhiwa project kubwa kusimamia kwa niaba ya kampuni .Katika project hiyo alikabidhiwa kijana mmoja ampatie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.