Wizara ya afya boreshen updates zenu kwenye web..

mzee wa magumashi

Senior Member
Oct 10, 2012
136
42
sasa ni miezi 3 web ya wizara ya afya hawaja update vile vile haijarusu watu kutoa maon yao kama zilivyo za wizara zingine nyeti hapa tanzania..kama ile ya mikopo www.olas.go.tz na nyingine nyingi.kwa hiyo maoni yangu ni kwamba hawa ma it wachunguzwe ikibidi wasimamishwe kazi.ujuzi wao mdogo.asanten.....
 
........................
 
Kama vipi waziri mpige chini katibu kama ameshindwa kusimamia hiyo wizara..vile vile gharama za kusoma diploma zinapanda kila leo.....
 
Back
Top Bottom