Posho/Mshahara /Kiinua mgongo cha Tume za Uchunguzi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho/Mshahara /Kiinua mgongo cha Tume za Uchunguzi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Oct 10, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Huwa ni shi ngapi? Mbona sijawahi kusikia mjumbe au mwenyekiti amejitoa baada ya kuona posho haitoshi?
  Makubalino huwa yanafanywa muda gani kiasi kwamba kila tume itangazwapo kila mmoja huridhia?

  Bajeti/fungu huwa linatoka wapi?
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kucheka, hili swali muulize Ndolanga Muhidin, yule kamanda alikuwaga boss wa FAT zamani.

   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ilikuaje, alidai mkataba kwanza au?
   
Loading...