Kinachoendelea TUNDURU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachoendelea TUNDURU.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Oct 10, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  JF, ninahisi MEDIA zimezibwa mdomo juu ya kutoa taarifa ya kinachoendelea huko tunduru, hata hivyo, nimedokezwa na mtu mmoja aliyekuwa Namtumbo kuwa kuna kampeni inaendelea kwenye nyumba za ibada kuwa waislam waepuke kuishi nyumba moja na wasio waislam.

  MYTAKE: JE, NI MAANDALIZI YA VITA YA MAANGAMIZI KWA WASIO WAISLAM. UKIMYA WA SERIKALI PIA UNATIA MASHAKA.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Serikali ipi? Hii ya jakaya?
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hatna serikali mkuu.ipo likizo hivyo tunajiendesha wenyewe.cha maana huko ni kuomba,hao maangamizi yatawarudia wao wenyewe.
   
 4. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watakuwa wamepewa tenda na 'majini wanayofuga' ili kukusanya damu!!
   
 5. Mzee Mpili

  Mzee Mpili Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wooote mlicomment kabla yangu, hamnazo. Na wasio na dini nao wapange kuishi kivyao. Mambo ya Walawi 11: 1 na kuendelea.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Ahhh, wataudhuru mwili lakini kamwe hawawezi kudhuru roho yangu ambayo ni hekalu la Bwana Yesu.
  Mtawakanyaga nyoka na nge, nao hawata wadhuru, PEPO watawatiini, mkilishika neno lake.
  Jiulize mapepo yanafugwa na nani?
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yesu ni njia ya amani.Hakuna mungu kama wewe.Mfumo kristo ni kama mvua,huwezi zuia mvua.
   
 8. awp

  awp JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  na sisi ulioolewa na waislamu inakuwaje hapo? itabidi waanze na kutenga vilabu vyao maana tunashea kikopo kimoja kwenye komon
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  ..


  ...

  Umekosea sana, ingekuwa likizo si ingekuja kusawazisha mambo!!!  Ni kwamba imekufa kabisa!!
  .
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  na kweli, maana walianza kukusanya damu ya nguruwe, kisha kuku, naona haitoshi ...............
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Precisely,waache waendelee kucheza na moto!
   
 12. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli wapo waislam wanaofanya hivyo inabidi wakamatwe na waasiwe ili kutokomeza kizazi chao.Waislam na wakiristo siku ya mwisho wote tunakwenda kwa mungu mmoja hakuna mungu wa pili.Warudi na kusoma vitabu vizuri sala na maombezi yote wanayofanya yanakwenda kwa huyo huyo mungu wakristo wanayomwamini na kumtukuza bila chuki na wao.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Kazi nzuri ya JK sasa inazaa matunda yaliokusudiwa.
   
Loading...