waandishi toeni tamko kupinga ubabaishaji wa kamati ya nchimbi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waandishi toeni tamko kupinga ubabaishaji wa kamati ya nchimbi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by politiki, Oct 10, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nawaombeni sana waandishi wa habari kulichukulia hili swala la kamati ya nchimbi kutaka kufunika ukweli
  mlichukulie kwa uzito unaostahili lazima kuandamana na kulaani kauli ya kamati ya nchimbi kwani bila hivyo
  msubiri kuweni tayari kushangaa tena mahakama itakavyotoa hukumu inayofanana na ripoti ya tume hii.

  kusema kuwa polisi haikuhusika mojamoja na mahuaji hayo ni matusi makubwa na tusi kubwa zaidi ni kusikia
  kuwa waandishi walikuwepo katika kamati hii nao wakabariki kummaliza mwangosi kwa mara ya pili jamani
  dunia na wapenda amani wote lazima walaani uhuni huu unaofanywa na serikali hii ya kikwete.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hili li Nchimbi si ndiyo lililoghushi PhD na baadaye kujifanya limeipata SUA? Mitoto ya mifisadi utaijua. Eti nalo linaota kuwa rais wa Tanzania. Nani alichague jitu la hovyo kama hili?
   
 3. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Tatizo waandishi wa Tanzania ni waganganjaa sana (Mwangosi R .I . P)
   
Loading...