Katika operesheni safisha jiji inayoendelea yakuwaondoa wamchinga leo maeneo ya stendi hali imebadilika pale mgambo walipojikuta wakipokea kichapo toka kwa wamachinga walikuwa wmejikusanya taruki hiyo iliendelea hadipale mgambo walipo omba msaada polisi.