harufu ndani ya basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

harufu ndani ya basi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ukweli2, Oct 8, 2012.

 1. u

  ukweli2 Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Habari za asubuhi wadau
  nipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar..
  Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.
  Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kulikuwepo na Fuko mmoja yuko langoni mwa shimo wakati Fuko mwingine yuko chini shimoni.........mara Fuko aliyeko langoni akasikia vishindo vinakaribia eneo karibu na lango la shimo......akakimbilia ndani kumfuata Fuko aliyeko chini kumuuliza huko/kule juu kuna vishindo ni vya akina nani!.............
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Waulize walioko kwenye basi..Au konda na Suka.
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Yale yale wa mwanaume yuko nje analima mkewe yuko ndani anapika mara mlio wa risasi unasikika kwa nje then mwanaume anakimbia ndani na anafunga mlango halafu anamuuliza mkwewe
  "Nani kafyatua Risasi?"
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Daa kweli JF is never boring........
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  We kama umeoza tukushauri nin? Asante tushajua unasafiri
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  fuko yule aliyekuwa nje, alipoingia ndani tu akamkuta tayari kesha kufa na ameoza. yote hayo ni ndani ya dk. tano tu. kwa hiyo ni harufu ya fuko aliyeoza.
   
 8. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,842
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mkuu Uk2,safari njema na karibu Dar! Ukifika tuwasiliane.
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Sox zimechafua hali ya hewa
   
 10. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usisahau mafuta yangu ya alizetu nilokuagizaga
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  mwatanzania hawatumii deodorant
   
 12. u

  ureni JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Next time jaribu kubadilisha usafiri utumie ndege nafikiri itakua better zaidi kwako
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ni magwanda hayo yametota jasho yanatoa kikwapa.
   
 14. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Usiku hilo basi litakuwa lilitumika kama danguro Singida kuna tabu ya maji wenzio hawaoshi.Acha dirisha wazi
   
 15. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  acha utumwa Zomba
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ni panya mkuu,kafia nyuma ya seat ya dereva!!next time panda zile yutong za ABC
   
 17. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unapanda bus la bei chee na utegemee linukie.
   
 18. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  we zombi itakuwa gamba limegusana na ngozi kweli??
   
 19. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hapo chacha,ukitaka kumla bata usimchunguze thana mkuu
   
 20. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mkuu mkipita Isuna naomba unichukulie jogoo la kienyeji utanikuta ubungo nakusubiri nitakulipa na hela ya usumbufu achilia mbali gharama za manunuzi!
   
Loading...