Hili Gazeti la Uhuru na Habari leo pia ni janga la taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili Gazeti la Uhuru na Habari leo pia ni janga la taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mboko, Sep 12, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,060
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,555
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  we bado unalisoma? Na we si mzima
   
 3. m

  maramojatu Senior Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  uhuru ni gazeti ambalo sijawahi liona kuanzia mwaka 1999. huwezi amini. sijui huwa wanasoma watanzania gani
   
 4. m

  mliberali JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 1,820
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  linasomwa na wangapi?
   
 5. doup

  doup JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikiliona tu nahisi kinyaa, silipendi kabisa
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Uhuru la SSM na Habari leo la serikali ya SSM.
   
 7. M

  Mboko JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,060
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  AAa kusema kweli haya magazeti huwaga siyasomi sema leo nimeona vichwa vya habari tu kwenye Mjengwa Blog na sivinginevyo i hate the news paper you cant beleave.N haitatoke ati nafungua ushuzi huu wa haya magazeti never and ever
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,124
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu hulazimishwi kuyasoma kama notes za mitihani.
  Soma yale uyapendayo.
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Nadhani janga la taifa ni wale wanaolisoma maana wanalihakikishia uwepo wake!
   
 10. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,571
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mbona umesahau TBC!
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,757
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho kuliona lilikuwa na karatasi za brown.Nikauliza ni la kihistoria au ni kwa ajili ya kufungia mengine.Muuzaji akaniambia ni la leo.
   
 12. B

  Bartazar JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 724
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Umeenda kutafuta nini kwenye Uhuru au Habari leo? Uchafu wenyewe sitakagi hata kuuona!
   
 13. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,711
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Office zake zipo wapi? tufanye maandamano mpaka katika office zake na ikiwezekana tuzichome moto
   
 14. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 487
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zogwale: Umetoa kali!! kwa maana hiyo chama cha CCM na serikali yake wanadanganya umma sasa wafanyweje? Nani awawajibishe? Kitendawili tega!!!!!!!
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,258
  Likes Received: 4,243
  Trophy Points: 280
  hivi hayo magazeti bado yapo?
   
 16. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  soma content yake ndipo utajua hawa ni nani ??
   
 17. simaye

  simaye JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 417
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nafikiri wateja wao ndio wanamatatizo wanaonunua magazeti hayo na kuyasoma?
   
 18. n

  nrashu Senior Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wateja? hapa mwanza tunasambaziwa na inalipa URT government. ofisi ya mkuu wa mkoa copy 20, mkuu wa wilaya copy 10. ila kila siku yanabaki hapo mezani. magazeti mengine huyapati ila haya huwa yanaondolewa na mfagizi.
  rgds,
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Muulize Nape au ofisi ya ccm iliyo karibu nawe!
   
 20. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh wanamageuzi hawana muda wa kusoma this nonsense,hili ni gazeti la propaganda za CCM.means wanaadika yale wanayoagizwa kutoka juu na nahisi huenda mhariri akawa ni NAPE mwenyewe.
   
Loading...