Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu wauawa kinyama.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu wauawa kinyama..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Top Thinker, Oct 9, 2012.

 1. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi wanne wa chuo kikuu cha Port Hacourt (UNIPORT) kilichoko nchini Nigeria, wameuawa kinyama kwa kuchomwa moto wakiwa hai, habari zaidi angalia video hii:

  [video]www.youtube.com/watch?v=PCU7WwV3zOE[/video]
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nimependa avatar yako jombaa.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Waafrika Tumelaaniwa. Yule aliyesema tuna Kasoro Vichwani Mwetu hakukosea, huwa tunamtukana bure tu. Hivi Utachukuaje Vijana wanne wa Chuo Kikuu mmoja akiwa Msichana Uwaue Kishenzi hivi Kuliko hata unavyoweza kuuwa Mbwa Koko,kwa ajili ya madai ya Wizi wa Simu tu ama kwa Kisingizio chochote Kile???? Na Bado Mkuu wa Polisi, Usalama nk wa Eneo hilo bado wakaendelea kuwa Kazini...??? So, SOOO SADDENING !
   
Loading...