Hongera TANESCO SONGEA lakini SOWASA ................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera TANESCO SONGEA lakini SOWASA ................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ligendayika, Oct 9, 2012.

 1. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Napenda kuwapongeza Tanesco songea kwa kuboresha huduma ya umeme mjini hapa kwa kipindi cha miezi minne mfululizo umeme si tatizo tena, hakuna mgao na kama kuna tatizo taarifa hutolewa na huwa kama taarfa ilivyosema. Lakini hawa jamaa wa maji wanajiita Sowasa maji hakuna na taarifa hakuna cha kushangaza bili zipo palepale ilihali maeneo kama ya majengo hakuna maji kwa miezi miwili sasa hakuna maji sasa lakini bili ni zilezile tatizo ni nini?.
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hongereni watu wa Songea kwa kupata umeme wa uhakika kwa miezi minne mfululizo. Tahadhari ni kuwa, hayo majenereta yanatumia mafuta na yanatoka mbali, Dsm. Sitaona ajabu ukirudi tena humu jamvini ukitueleza kuwa umeme haupatikani mfululizo kwa ukosefu wa mafuta!
   
 3. m

  mwitu JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nilikua huko wiki iliyopita umeme wa kumwaga maji hamna kitu
   
Loading...