Walio na taarifa kuhusu ripoti ya kamati ya nchimbi watujuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walio na taarifa kuhusu ripoti ya kamati ya nchimbi watujuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwinukai, Oct 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  leo ndio siku ya kusomwa ile ripoti ya kamati ya Nchimbi wenye habari watujuze kuhusiana na hilo:-
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Acha papara! muda ukifika tutaujua ukweli.
   
 3. Lenja

  Lenja Senior Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Natumaini bado hajakutana na Waandishi, Wadau wataanika tu kilichosemwa! Ila tegemea walala nyingi na pindisha pindisha nyigiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 4. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tunasubirii!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tundu Lissu alishasema ile kamati haina hadhi wala haikidhi matakwa ya kisheria kuchunguza tukio lile kwa sababu haiwezi kumhoji waziri. Chochote watakacholeta bado kitazua maswali zaidi hasa kama wamefanya kazi vizuri. Tunasubiri
   
 6. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,503
  Trophy Points: 280
  subiri waziri akiileta ikulu nitakusaidia kutafuta kwenye dastbin za hapa ikulu
   
 7. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  uongo mtupu na mchemsho
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...